Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 74
Hivi bado tuna ngojera mashuleni kwetu! maana nikuwa mkali sana (Naipenda sana) kulumbana na kufoka foka yaani ngojera group member ipo siku hizi mashuleni? just curious kama kuna mtu ana data aniambie. Je kuna vikundi nje huku duniani vinavyofanya ngojera?