mbako
Member
- Nov 17, 2016
- 54
- 64
Tangu wiki iliyopita kumekuwa na taarifa za ndugu zetu kunyanyaswa na kuteswa msumbiji kibaya zaidi kufikia asubuhi ya Leo watu waliorudishwa inazidi elfu mbili na bahati mbaya amefariki mmoja.
Kibaya zaidi katibu mkuu mambo ya ndani alilielezea kiurahisi sana hadi nashindwa kuelewa mbona nchi hii hatuthamini uhai wa ndugu zetu jamani.
Naumia sana juu ya Jambo hili mh Mwigulu nchemba mbona uko kimya na Mtukufu Rais mbona uko kimya?