Hivi ndoa ya mkeka ni ndoa..?

Hivi ndoa ya mkeka ni ndoa..?

Marriage is something human beings used to do before sexual equality was made law. If you are in a marriage get out and if you are not, stay out.
 
Sio kwamba hii inatokana na Biblia kwenye kitabu cha Kumbukumbu ya Torati (Deuteronomy)? Soma hii mistari halafu tafakari! Deuteronomy 22: 28 - 29

28 "If a man comes upon a maiden that is not betrothed, takes her and has relations with her, and their deed is discovered,
29 the man who had relations with her shall pay the girl's father fifty silver shekels and take her as his wife, because he has deflowered her. Moreover, he may not divorce her as long as he lives.
 
Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?
Hata ingekuwa ndoa ya jamvi, ni ndoa.

Ndoa ni muunganiko wa watu wawili (ke na me) walioamua kuishi pamoja hadi kufa
 
Back
Top Bottom