Hivi ndo vimbwanga vya JF

Hivi ndo vimbwanga vya JF

Jameni, mvumilivu hula mbivu. Hivyo subirini sasa jamaa atunge story zake moreover sisi wenyewe tumeshamuonyesha nini tunataka kusoma.
 
Nshajua unataka mtu akuhadisie af uje utubwagie humu, ujifanye ni wewe Lipa Kwanza, ndo uendelee
 
Last edited by a moderator:
Naona watu mnaifanya JF kama msaafu wa kutatua shida zenu zote...

Mnatongozana hapa, mnadinyana wenyewe kwa wenyewe halafu mwishoni mwaja na viloja vya sredi kuumbuana...

Ujinga mtupu!!!

Na hizi Ids mpya hizi zina mambo!! Dah
 
Hapa ni udini mtupu na unashabikiwa na moderators wenyewe,tuambieni ili tujuwe kama hapa JF ni kijiwe cha kutukana dini za wengine,lol,ushoga mtupu hapa.M/MPAMBA.
 
Naona watu mnaifanya JF kama msaafu wa kutatua shida zenu zote...

Mnatongozana hapa, mnadinyana wenyewe kwa wenyewe halafu mwishoni mwaja na viloja vya sredi kuumbuana...

Ujinga mtupu!!!

Halafu wakiwa wako powaa katika mahusiano yao kimya ila mambo ya kichacha haraka sana jf kuja kushtaki
 
Ila sthing is wrong bro...mbona haya siku hizi? Hapo nyuma kidogo hapakuwa hivi!

Penye wengi pana mengi. Siku za nyuma JF hapakuwa na wanachama wengi kama ilivyo hivi sasa.

Na nadhani idadi ya wanachama kila kukicha inazidi kuongezeka.

Hivyo, kadri idadi ya wanachama inavyozidi kuongezeka ndo vimbwanga, vitimtim, na vizaizai navyo vinavyozidi kuongezeka.

Ni mambo ya kawaida ya kimaisha tu haya. Hakuna la ajabu kivile.
 
Tumesubiri sana, turudishie pesa zetu wewe mleta sredi
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom