Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Umefanya vizuri mkuu!mm huwa nakasirika hadi natamani nimpige makofi kama yupo karibu, ni maneno ya kijinga tena wengi wao ni kutoka vyuo vikuu!ss sijui ndio wanasomea hayo maneno huko!Kuna mdada ambaye ni rafiki yangu wa Karibu sana ameenda chuo mwaka huu akaanza kutumia maneno ya ajabu ajabu kama jomoni nikampiga marufuku kunitamkia maneno hayo
Wengine kina mama wa 70s kabisa na ukiwasoma wanadhani ndiyo wananogesha na kujibebishabebisha ili mwanaume alegee.Hiyo ipo kwa me na ke. Ukiona mtu anaandika hivyo ujue akili yake bado ni ya kivulana au kisichana.
Uandishi wa hivyo lazima huyo mtu ana akili za kitoto kabisa,mi ukinitumia sms za maneno hayo au unitumie sms unasema"niambie". Nadelete na conversations zote!Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc hv kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!mjirekebishe mwengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
Mie mtu akishaweka maneno ya namna hiyo hata kama alikuwa na mada nzuri yenye mbolea kiasi gani sijibu.Matumizi ya x badala ya s hata baadhi ya wanaume wanapenda kutumia huwa wananiudhi
Hata wababa wapooWengine kina mama wa 70s kabisa na ukiwasoma wanadhani ndiyo wananogesha na kujibebishabebisha ili mwanaume alegee.
Wengi JF mnatatizo hili kila dakika mnawaza Women Vs men.Hata wababa wapoo
nime block kabisatabia hujenga mazoea....ila mkuu huyo alieku text kihivyo umemwambia au ndio unapotezea..
Natia shaka kama mtoto wa kiume aliye rijali ataanza kutamka maneno hayoHata wababa wapoo