OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Huku dhihaka. . .Huku anatabiriwa kuwa dikteta. . .
Atachagua kuwa dikteta kuliko dhihaka na dharau. . .
Atachagua kuwa dikteta kuliko dhihaka na dharau. . .
kwanza niondoe shakashaka yoyote juu nia,uwezo na sababu za DK MAGUFULI za kulipeleka taifa letu tunalolipenda sana kwenye ustawi,lakini napata mashaka makubwa kama taifa kwa maana ya wananchi tupo tayari kushirikiana na Rais wetu kuelekea tunakokukusudia,
tulitarajia baada ya uchaguzi kuisha na waliopata dhamana kutangazwa taifa lingerudi pamoja kwani kwenye demokrasia hakuna mshindi na mshindwa bali TAIFA huwa ndio limeshinda.
hapa lazima niwe mkweli sikutegemea kubeza na kununa kwa upande wa upinzani(kwani walichopata si haba toka kwa chama dola kama ccm).
lakini sikutegemea kuzomea,kejeli ama kujaribu kulibinafsisha taifa kutoka kwa ccm,
kwa mujibu wa tume UKAWA wana 40% ya ushawishi ktk nchi na ili nchi iende inahitaji kuwa wamoja kama taifa na hapa ndipo yalipo majukumu yetu kama wananchi,
LAZIMA TUFAHAMU HAKUNA KIONGOZI YEYOTE ANAEWEZA KUFANIKIWA BILA YA KUUNGWA MKONO TAIFA.
wapuuzi wachache ndio wanaamin magufuli alishinda uchaguzi wa 2015. Tutabaguana hadi mitaani maana tunajua kilichofanyika.
Watu mna akiri mbovu ivi unaweza kutamka eti pombe alishinda kwa kishindo? Chini ya asilimia 60 za wizi? Hii ni miujiza
Tulieni dawa iwaingie Mhe Rais Magufuli ni chaguo la Mungu
kwanza niondoe shakashaka yoyote juu nia,uwezo na sababu za DK MAGUFULI za kulipeleka taifa letu tunalolipenda sana kwenye ustawi,lakini napata mashaka makubwa kama taifa kwa maana ya wananchi tupo tayari kushirikiana na Rais wetu kuelekea tunakokukusudia,
tulitarajia baada ya uchaguzi kuisha na waliopata dhamana kutangazwa taifa lingerudi pamoja kwani kwenye demokrasia hakuna mshindi na mshindwa bali TAIFA huwa ndio limeshinda.
hapa lazima niwe mkweli sikutegemea kubeza na kununa kwa upande wa upinzani(kwani walichopata si haba toka kwa chama dola kama ccm).
lakini sikutegemea kuzomea,kejeli ama kujaribu kulibinafsisha taifa kutoka kwa ccm,
kwa mujibu wa tume UKAWA wana 40% ya ushawishi ktk nchi na ili nchi iende inahitaji kuwa wamoja kama taifa na hapa ndipo yalipo majukumu yetu kama wananchi,
LAZIMA TUFAHAMU HAKUNA KIONGOZI YEYOTE ANAEWEZA KUFANIKIWA BILA YA KUUNGWA MKONO TAIFA.
UKAWA wasingeweza wote kwenda Muhimbili au wizara ya fedha, pasingetosha.Hao viongozi wa Ukawa wengi wao waliamua kusutia uapishwaji wa Dr. Magufuli. Kabla ya hapo wanaukawa walikuwa wanafurahia kuzomea zomea wakati wa kampeni. Hata baada ya Dr. Magufuli kushinda kwa kishindo (manaake alikuwa anapambana na vyama vinne chini ya Mh. Lowassa), Ukawa bado wanaendeleza tabia ya kususa na kutokuunga mkono jitihada zozote zinazofanywa na Mh. Magufuli katika kutatua matatizo ya wananchi na kulipeleka taifa mbele. Sasa ni nani anayetaka kulipasua hili taifa? Upinzani Tanzani bado sana. Eti ukiwa mpinzani maana yake ni kujivua uzalendo. Endeleeni na huu upuuzi wenu lakini mjue wananchi walio wengi sio wajinga kama mnavyodhani.
Wapumbavu wengi ndiyo wanaamini Lowasa alishinda Urais 2015
kampigie mizinga 21 nyumbani kwake maana ndiyo ikulu yenu wanywa viroba
Rais ni lowassa
wapuuzi wachache ndio wanaamin magufuli alishinda uchaguzi wa 2015
Hakuna mjinga yoyote wa kumkwamisha Magufuli. Ulishawai ona ndege inarudi rivasi? Magufuli ni kama ndege kwa sasa ndio inaanza kasi ata kupaa haijaanza. Wanaosema ana nguvu ya soda ni wale wanaoishi kwa nguvu ya viroba.
#Hapa kazi Tu
Hivi CDM wameshinda jumla ya majimbo mangapi ya ubunge?wapuuzi wachache ndio wanaamin magufuli alishinda uchaguzi wa 2015
Mkwere anasema hiyo 42% ni wanywa viroba
Mungu wa wasukuma au Mungu huyu wa Israel???Tulieni dawa iwaingie Mhe Rais Magufuli ni chaguo la Mungu
Acha kutukana toa hoja .
Hivi CDM wameshinda jumla ya majimbo mangapi ya ubunge?
Rais ni lowassa