- Thread starter
- #21
Tatizo misaada haiwafikii walengo kama watoa misaada wanavyokusudia. Kumbuka japan hela wanazotoa ni kusaidia 50% ya bajeti yetu ya 2016/2017Hizo shule zote ongeza misaada. Je, misaada ikitokomea itakuaje

Naamini chini ya magu yote hayo yataisha maana ni msimamizi mzuriTatizo misaada haiwafikii walengo kama watoa misaada wanavyokusudia. Kumbuka japan hela wanazotoa ni kusaidia 50% ya bajeti yetu ya 2016/2017
Kwani kodogo mkuu!kaz ipo
Kuisha itachukua muda sana, ila atapunguza sana kama atatuliza akili na kuweka mfumo endelezi hata kwa atakayefuata.Naamini chini ya magu yote hayo yataisha maana ni msimamizi mzuri
Serikali inabidi wawe wakweli mbele ya wananchi wake, nadhan itasaidia. Kwan wananchi hawajui kuwa tunakopa na kusaidiwa.full mazingaombwe.....hapa hata kama una mpango wa kupata kid ujue ana deni lake kama kilo tatu hivi hahahaa
Ukiwa ndani ya system utaipenda CCM!
Tupe la kufanya basi? Kwan mpaka July wakati wa bajeti ni mbali sana kusubiria Million 50 zetu huku kijijinMkikosa la kufanya huwa mnatapatapa