Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

Status
Not open for further replies.

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA
 
Hizo ni stori za pwagu na pwaguzi. Magufuli akishakuwa rais atajua nani na nani
 
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA

NI MTAZAMO TU,siyo mbaya
 
Hizo ni stori za pwagu na pwaguzi. Magufuli akishakuwa rais atajua nani na nani


thubutuuuu....2005 jk alikuwa anamta shamsi vuai nahodha awe makamu...akaambiwa wee kijana wewe..weweee...dr shein ataendelea kuwa makamu na ikawa..na kwa magufuli ni hivyo hivyo kwanza yeye hata hakutegemea...wenzio wanasema kaokota embe dodo chini ya mwarobaini
 
Kwa kura za uchakachuzi ama halali? Je mko tayari kuwe na tume huru ama mtasaidiwa na jeshi kushinda?

Wacha kuogopa ushindi wa CCM mkuu. Nakuona unaanza kutafuta visingizio Ulidhani tunaweka mamvi upate la kusema sio hiyo ndio CCM kama ulikua huju
 
Nataka sanaa Membe awe wazir mkuuu sanaaaa..ntafunga hilo litokee
 
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA

Mkuu upo wapi kwani? Mbona kama unaota! Membe ashasema hagombei tena ubunge, sasa atakuwaje PM?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom