Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

Status
Not open for further replies.
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA
Membe mziki wa magufuli hauwez kwhy hawez kuwa P minister labda pro muhongo
 
Kwa kura za uchakachuzi ama halali? Je mko tayari kuwe na tume huru ama mtasaidiwa na jeshi kushinda?

Kuwa mwanachama wa ccm inabid kdogo akil zfyatuke so usishangae kamanda...
 
Chadema imekufa kabisaa,hata hatuisikii kabisaa
Mkuu! Yaani huwezi amini kama kuna wapinzani nchi hii, angepita lowasa wangekuwa wamejazana humu kumdadafua EL, na angepitishwa membe wangekuwa saiv wanapeana matumaini ya ukawa kuingia ikulu. Lakini wamechaguliwa jembe hata hawana pa kuanzia kujidangana tena kuingia ikulu.
R.I.P UKAWA
 
Nataka sanaa Membe awe wazir mkuuu sanaaaa..ntafunga hilo litokee

Mimi akili zangu hua hazi toshi yaan BADALA UFUNGE MUNGU AKUPUNGUZIE DHAMBI WE UFUNGE MEMBE AWE WAZIRI MKUU? amaa kwel jf kunamambo
 
Kwanza Mwaka huh wasahau Kuingia Njia ya
bMagogoni

Ila Mgombea wao wa urais ni Migiro

halafu wengine watajipanga
 
Kwa muonekano ni kama itakaa hivyo, lakini kuna nje ya ulingo usibeze.
 
Sa wanawake ndo watuongoze cc?haiwezekan urais ni dhamana kubwa sana kwa mwanamke
 
Waziri mkuu atakuwa January If not Makamba atapewa waziri wa mambo ya nje.
 
migiro hawez kurudia uwaziri tena....apo lazma awe naibu raisi
 
mbona muhongo alikuwa waziri wa nishati.. bila ya kuwa mbunge. FIKIRI.

Kuwa waziri mkuu wa Tz lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa jimboni. Kuwa waziri hata mbunge wa kuteuliwa anaweza pewa.
Membe akigombea ubunge atakuwa na sifa za kuwa PM
 
Achnaneni na utamaduni kua raisi lazma atoke chama tawala..kwani wapinzani hawana watu.na unachaguaje raisi ambaye kwa miaka kumi iliyopita alikua anaishi marekani zaidi kuliko nchini kwake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom