Fyengeresya
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 751
- 349
Wasabato sio wakristo bali wapo karibu zaidi na uislam kwa maana principles zao zinaelekeana. Ni wafuataji wa sheria/sharia kuliko hata kristo mwenyewe. Ndiyo maana wanaitwa wa-Adventist wa Sabato, yaani msisitizo wao ni siku ya sabato wakati Yesu Kristo alisisitiza katika upendo zaidi. Hivi umewahi kusikia wasabato wakitajwa na waislam kama wamepotoka?Kwani kuna tofauti kati ya MSABATO NA MKRISTO?labda uje ja hoja zilizo wazi msabato sio mkristo?
Shida ya vitu usivovijua ,et kuonya hapo ni kulazmisha unavyo abudu wewe ndo tufuate, hapo utawachukua wanao ijua imani katoliki juu juuMSIPOONYWA IBADA KAMA HIZI MTAACHA LINI?
Kaka huna evidence yoyote hapo 5oa truth evidence.....Wasabato sio wakristo bali wapo karibu zaidi na uislam kwa maana principles zao zinaelekeana. Ni wafuataji wa sheria/sharia kuliko hata kristo mwenyewe. Ndiyo maana wanaitwa wa-Adventist wa Sabato, yaani msisitizo wao ni siku ya sabato wakati Yesu Kristo alisisitiza katika upendo zaidi. Hivi umewahi kusikia wasabato wakitajwa na waislam kama wamepotoka?
Unafiki nao nn hebu kuwa waz....Ni wanafiki sana hawa sabato siku zote ujifanya wema mhh basi bwana ! Ila hata wafanye nn catholic haiwezi kuyumba ata kidogo.
Harafu hakuna watu wanafiki kama wasabato, tunaishi na nyie mitaan kwamba mnashika sabato wakati matendo machafu ambao ndo upagan wenyewe sasa, mnavyo igiza kuishi hamuwez yan full unafiki na uvugu vugu kila mkutanapo kanisa katoliki ,papa in short hamuhubiri injili, sorry kwa kuhukumu
Watajatifu eerh ka we ndo huna hoja vle[emoji57]Hongera kwa watajatifu wakatoliki.hizi na dakili za kuishiwa hoja unabaki kulalama tu.
Huu ndio ukristo?Wasabato sio wakristo bali wapo karibu zaidi na uislam kwa maana principles zao zinaelekeana. Ni wafuataji wa sheria/sharia kuliko hata kristo mwenyewe. Ndiyo maana wanaitwa wa-Adventist wa Sabato, yaani msisitizo wao ni siku ya sabato wakati Yesu Kristo alisisitiza katika upendo zaidi. Hivi umewahi kusikia wasabato wakitajwa na waislam kama wamepotoka?
Kuwa great thinkerKwani kuna dini iliyoenezwa bila kumwaga damu? Yesu mwenyewe alimwaga damu msalabani kwa ajili ya wanadamu , uislamu nao ulisambaa duniani kwa njia ya jihad sasa unashangaa nn hapo? Ukitaka kujipambanua kwa wanadamu ni lazima upambane.
Kuwa great thinker
Roman ilimwaga damu kwa kuwaua wakristo
Mfano john huss, tyndale
Inakadiriwa iliua wakristo Zaidi ya MILLION 50
WEWE NDIO UMEKARIRISHWAKwa kujua historia ya kukaririshwa ndo kuwa great thinker!
Hivi ibada kama hizi unachafuliwa niniWasabato bana. Jitahidini kuchafua labda kuna siku mtafanikiwa. Watu wanahubiri UPENDO nyie mnakomaa na kutunga uongo wa kuchafua madhehebu ya wengine. Sielewi ni mtin**d**I*ooo
Mkuu kila nikiona hii ID yako huwa natabasamu sana!! Kuna jamaa yangu alilishwa nyama ya punda singida bila yeye kujua, baada ya mlo wakamwambia broo umekula MNYAMAKAZI!! Jamaa akazuga haaa kumbe tamu!!Busara kuu hii.
Tumsjifunza A >ZChristianity about polygamy
Should a Man Have More Than One Wife?
Islam about polygamy
Polygamy in Islam – Your Guide to get to know the Quran
Pitieni hizo links alafu muniambie mmejifunza nin??
Nikiwa napiga story na washikaji zangu, ilikuipa hoja yangu nguvu huwa ninauwezo wa kumsingizia mtu yeyote maarufu quotation, na hakuna ubishi ambao huwa naloose kwa mbinu hii.Martin Luther, mwasisi wa kanisa la Kilutheri,
aliandika katika ungamo la Augusiburgi
(Augusburg Confession), sharti la imani la 28, aya
ya 9, maneno haya:
"Wao [Wakatoliki wa Roma]
wanadai kwamba Sabato ilibadilishwa na kuwa
Jumapili, siku ya Bwana, kinyume na ile sheria ya
Amri kumi,.. wala hakuna mfano wanaojivunia
sana kama huo wa kuibadili siku ya Sabato. Ni
mkuu, wasema wao, uwezo na mamlaka ya
Kanisa, kwa kuwa liliiondoa mojawapo ya zile
Amri kumi."