Hivi ndivyo Rais Samia anavyoonekana kimataifa!

Hivi ndivyo Rais Samia anavyoonekana kimataifa!

Kazi ya Balosi Dk Asha Rose Mtengeti Migiro ni ku rebrand negative imperial image ya Dada yake kimataifa.

Je pulling na speed hiyo anayo . Mi naona anayo na ni soft spoken tone. Masuala ya ufisadi ataweza kuyajibu
 
Ah wapi!

Huyo hiyo kazi wala haimfai.
 
Kwa kweli sikutarajia kabisa kwamba SSH angekuwa mkatili hivi kwa Wananchi wake na Demokrasia pia.

Unless tufahamishwe kuwa siyo yeye ila Wanamtandao wamemzidi kimo na hana namna yoyote ile ya kufanya maamuzi kwa matakwa na manufaa ya Nchi.

Naona uelekeo ukiwa na full giza...
 
😏
1000055497.jpg
 
Kwa kweli sikutarajia kabisa kwamba SSH angekuwa mkatili hivi kwa Wananchi wake na Demokrasia pia. Unless tufahamishwe kuwa siyo yeye ila Wanamtandao wamemzidi kimo na hana namna yoyote ile ya kufanya maamuzi kwa matakwa na manufaa ya Nchi. Naona uelekeo ukiwa na full giza...
Tatizo sugu wala siyo Samia.

Tatizo sugu ni CCM.

Wanaenda kutawala nchi kwa miaka 70!
 
Kwa kweli sikutarajia kabisa kwamba SSH angekuwa mkatili hivi kwa Wananchi wake na Demokrasia pia. Unless tufahamishwe kuwa siyo yeye ila Wanamtandao wamemzidi kimo na hana namna yoyote ile ya kufanya maamuzi kwa matakwa na manufaa ya Nchi. Naona uelekeo ukiwa na full giza...
Kama anashirikiana na wanamtandao lazima wamuzidi tu.Rais hatishi wacha watu wale kwa urefu wa kamba
 
halafu cha ajabu ndiyo wako bize wanatumia nguvu kama zote kwenye kampeni ambapo hakuna upinzani, wakitoka hapo wanajisifu kwa ushindi wa kishindo duh, low iq folks ...

war on Christianity is real ...
 
Anajichoresha na walomshauri wanampoteza
 
Back
Top Bottom