Hivi ndivyo ningependa Man Utd first 11 iwe msimu ujao ili tushinde ubingwa EPL

Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa kuamua and kua na juhudi km Utd wangecheza km walivyocheza jana angalau nusu ya msimu wangekua top 4 regardless na anaepangwa kuanza game ile timu haikua inamataka kocha before na hasa wkt zengwe la Sancho lilipokuwepo but mwishoni ikabidi wakubaliane tu
 
1: Onana

2: Dalot
4: Lisandro Martinez
5: Jarrad Brathwaite
3: Ian Maatsen

6: Mainoo
8: Joao Neves

10: Bruno Fernandes

7: Kvaratskhelia
11: Garnacho

9: Hojlund
Uyo dalot uchochoro namba 3 shaw na malecia wanaimudu wakiwa fiti hakuna haja ya uyo dogo wa dortmund hapo kwenye midfielder wanahitajika 6 na 8 wazoefu watakaoingia kwenye first eleven moja kwa moja uyo mainoo bado mdogo anahitaji kuendelea kukua hapo kwenye front 3 nafikiri wanahitajika watu wazima uko pembeni garnacho bado mdogo hawezi kuwa na muemdelezo wa kiwango kizuri msimu mzima rashford anazingua yule antony ndio hakunankitu kabisa
 
1: Onana

2: Dalot
4: Lisandro Martinez
5: Jarrad Brathwaite
3: Ian Maatsen

6: Mainoo
8: Joao Neves

10: Bruno Fernandes

7: Kvaratskhelia
11: Garnacho

9: Hojlund
Tatizo ni majeruhi ya Lisandro, huyu jamaa akiwa uwanjani automatical kila mtu aliyemzunguka anakuwa bora.

Angalia Amrabat alivyokuwa bora kwenye fainali. City walikutana na kitu hawaamini hadi sasa.

Ova
 
L.martinez ni majeruhi tu lakini ni mchezaji mzuri mno, kwasababu ana akili sana...angalia tu upigaji wake wa pasi jinsi ulivyo, pasi zake za kwenda mbele always zinavunja mstari wa mbele wa timu pinzani, hiyo ndio hatari.
 
Back
Top Bottom