Hivi ndivyo mheshimiwa alivyo tuagiza

Hivi ndivyo mheshimiwa alivyo tuagiza

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
561343_210570689061512_765661904_n.jpg
 
Mungu wangu.!?
Common people mbona twanyanyasika namna hiyo?
 
"Wapigeni tu maana tumechoka sasa" Kama kuchoka ingekuwa hivi basi ni balaa!
 
Katika majibu yake, Pinda alisema:''Mheshimiwa Mangungu hapa ameanza vizuri, lakini mwisho hapa naona anasema vyombo vya dola vinapiga watu, ukifanya fujo au umeambiwa usifanye hiki ukaamua kukaidi upigwe tu."
"Lazima wote tukubaliane kuwa nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya sheria na kama wewe umekaidi unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndiye jeuri zaidi; watakupiga tu."


"Na mimi nasema wanaokaidi amri halali ya Jeshi la Polisi muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine ya kupambana na wakaidi zaidi ya kuwapiga,"
 
Plato aliwacategorise watu katika makundi matatu. Gold, silver and iron. Polisi , mgambo na wanaofanana nao ni iron, those who doesnt use brain,na badala yake nguvu.
 
sasa si wakaidi. wangekuwa wametii taratibu yangewakuta hayo
 
Plato aliwacategorise watu katika makundi matatu. Gold, silver and iron. Polisi , mgambo na wanaofanana nao ni iron, those who doesnt use brain,na badala yake nguvu.

kwa sifa ya pinda kama kiongozi ni gold ila matendo yake yanaonesha ni iron pia maana hatumii akili.
 
duh... hivi wanafundishwa kule ccp? au ndio maagizo ya pinda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom