Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Naona mnaamza kuwekana bize wenyewe. Safi sana!
Sukari imeanza kupatikna ?Naona mnaamza kuwekana bize wenyewe. Safi sana!
NdioSukari imeanza kupatikna ?
Shukrani kwa ushahidi mwanana
Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Baada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wanguKumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Huyo kafika bei kuelekea uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu.Kumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Safi sana mkuu hii inajulikana.......mtu kaam Silinde alikula mshiko kitambo sanaBaada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wangu
Duh! kumbe ni jambo la kikatiba, sasa mbona Mh.supika anambebesha mzigo Mbowe kama vile Mbowe na familia yake ndio waliandika hiyo katiba!!! Na huyo dogo kilichomliza ni nini sasa, mbunge mzima hajui hata katiba ya chama chake?!?!
Alichotaka kuonesha kuwa Mh. spika yuko sahihi alipokuwa anamshambulia Mbowe kuwa anawanyanyasa wabunge, anawakata mishahara kimabavu...!Kumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Kila kitu kinafahamikaSafi sn mkuu hii inajulikana.......mtu km silinde alikula mshiko kitambo sn