umemaliza kazi!
Ni bahati mbaya tuu nimeshaoa, Ninge kuoa malaika.
Na za Chadema, zitakuaje??
Weka ndani muke ya pili mkuu.Ni bahati mbaya tuu nimeshaoa, Ninge kuoa malaika.
Unanikosha sana sana!
Kamechachamaa, mandege yakapige Kura.we kwani umesikia ndege ni chumvi tunaweza unga kwenye mboga.. kwendraaaaa.. zenu huko.View attachment 1535257