Hivi ndivyo jinsi majirani zetu wanavyotuongelea kuhusu Corona

Magufuli yupo sahihi 200% ,amezingatia sana mustakabadhi wa wananchi wanyonge ambao kula yetu ni ya kuunga unga kila siku mtu lazima utoke uende kitaa kusaka hela ya kula ,ww unaesema hivyo utakuwa umeajiriwa some where ndio maana una kibuli cha kuhamasisha lock down.

Mawazo yako ya kipumbavu unataka Magufuli hayafuate mawazo ya mpumbavu ili watu wasio wapumbavu (weledi) wamuone rais sio mweledi rais yupo makini kesho watu wakianza kufa kwa njaa mtaanz kulaumu tena hamnaga jema nyie.

Corona ni battle kati ya Uchumi na maradhi lazima u breakeven hapo lasivyo lazima ufeli.

Bora tuugue Corona tunaweza pona ila tukifungiwa ndani asilimia kubwa ya waTz 86% watakufa kwa njaa ndani ya siku tatu mpaka saba.

Tumia akili kufikili sio makalio.
Bado lockdown sio suluhisho, watu watakufa na njaa, mbongo anaweza tembea na ugonjwa mwilini na sio njaa. Nature will decide, na tusiwe na mawazo hasi, maneno yanaumba. J.M.P yupo sahihi kabisa na naamin kasikiliza ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom