Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,163
- 27,180
Hii ndiyo point yako. Hizo zingine mbwembwe
Hii ndiyo point yako. Hizo zingine mbwembwe
Hii ndiyo point yako. Hizo zingine mbwembwe
Wajinga Kama hao haina haja ya kuwajibu unapoteza muda wako Tu kubishana na mpumbavu....Akili za fesibuku...
Tena hata Fb huwa sipati comment kama hizi
Kwamba hujaona nimekushauri kuhusu kuleta ujanjaujanja kwenye kubadili fuse... Umeona hili tu...
Haya tatizo liko wapi...
Pamoja sana mkuuSafi sana chief napata elimu ya kutosha kutoka kwako, Mungu akipenda nikimiliki la kwangu bila shaka utanipa msaada wa kutosha. Hongera kwa kutupa elimu bila kuchoka.
Hii huduma inafanyika hata kwa gari za zamani?..suzuki escudo old model
Mkuu wapi nimesema asitangaze au kuna kiashiria gani kwenye comment yangu cha kwamba asitangaze? Naomba tutumie kiungo stahiki (kichwa) kwenye kufikiria na si vinginevyo wala mihemeko.Kwahiyo ulitaka asijitangaze?
Huo ni utaalamu , sisi wenye magari tunahitaji watu na huduma kama hizi
Kusema hiyo ndiyo point muhimu ndiyo akili za Facebook? Pia umeuliza tatizo liko wapi kana kwamba mimi nimesema kuna tatizo, acha ukanjanja kwani unaharibu uzi wako mwenyewe. Umechambua vizuri na mwisho ukatangaza biashara yako. Ndiyo maana mimi nikasema kwenye tangazo la biashara ndipo point yako ilipo, sidhani kama umeleta hizo picha kutuburudisha tuAkili za fesibuku...
Tena hata Fb huwa sipati comment kama hizi
Kwamba hujaona nimekushauri kuhusu kuleta ujanjaujanja kwenye kubadili fuse... Umeona hili tu...
Haya tatizo liko wapi...
Waweza nipa mfano wa umbea niliowahi uleta humu vs mada yako wewe ya kimkakati?Huyu ndio member anaetumia mitandao kimkakati sio ww kutwa kuleta umbea ambao hauna faida kwako
Bado una akili za kitoto.Kusema hiyo ndiyo point muhimu ndiyo akili za Facebook? Pia umeuliza tatizo liko wapi kana kwamba mimi nimesema kuna tatizo, acha ukanjanja kwani unaharibu uzi wako mwenyewe. Umechambua vizuri na mwisho ukatangaza biashara yako. Ndiyo maana mimi nikasema kwenye tangazo la biashara ndipo point yako ilipo, sidhani kama umeleta hizo picha kutuburudisha tu
Mkuu wapi nimesema asitangaze au kuna kiashiria gani kwenye comment yangu cha kwamba asitangaze? Naomba tutumie kiungo stahiki (kichwa) kwenye kufikiria na si vinginevyo wala mihemeko.
Hahahahahah hapo kutatua matatizo yote hayo ni aheri ulipie mke mahari uoe 😅😅😅 na harusi kabisa!Hii ni Audi A3 2.0 TSI Hatchback ya mwaka 2010. Nimeifanyia Diagnosis kama kawaida ina error codes kibao (Zaidi ya Faults 50).
Sasa katika kwenda kutest waya za mojawapo ya sensor ambayo ilionesha ina shoti, Pembeni kidogo ya battery si nikakuta moshi unafuka. Halafu lile eneo la fusi box nikakuta ni la moto balaa.
Anyway nmefungua mfuniko wa fuse box ndio nakutana na kitu hiki hapa chini.
View attachment 1929415
Ikabidi nizime gari then nifanye mpango wa kuchomoa hivyo vibati vilivyobakia hapo maana lile plastic lote la fuse limeshayeyuka na limeanza na kuyeyusha sehemu ya fuse box.
Nikakutana na kitu hiki
View attachment 1929416
Aiseee ukitazama vizuri hicho kibati kina nyaya nyaya ambazo zimewekwa na mafundi.
Kama kawaida mtu aliona fuse imeungua akaamua kunjunga na mayokeo yake waya umepata current kubwa then moto umeanza. Gari nyingi fuse zake zimezungushwa waya kama ilivyofanywa hii.
Other pictures
View attachment 1929419
View attachment 1929420
View attachment 1929422
View attachment 1929426
Kama kawaida naendelea kusisitiza. Gari za ulaya siyo za kununua kama unanunua nyanya.
Rejea
Thread 'Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa' Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa
Sasa hebu angalia faults za hii ya leo.
View attachment 1929434
View attachment 1929435
View attachment 1929437
View attachment 1929438
Pia hizi siyo gari za kuendesha tu ilimradi unaona inatembea. Check up inamatter sana. Otherwise siku ukija kupima ndio utatajiwa matatizo mpaka kichwa kikuume.
Kama una tatizo na gari yako au unahitaji Diagnosis nicheck.
Iwe gari yoyote ndogo ya Ulaya, Asia au Marekani tunapima na kusolve.
Nipo Dar.
0621 221 606.
Sema sahizi utakuwa balozi mzuri sana kuwaasa vijana wenzio 😅! Mtu hajawahi kumiliki hata baskeli kaotea 15m yake anaagiza BMW kwa mbwembwe zote 😅!yes ilianza kama utani, kuna mlio nilikuwa nausikia kwa mbali mwishowe ikala kwangu
sema kwa spear za magari ya ulaya zinatesa tz ...
Hahahahaahaah mkuu wewe acha sema toyota wacha aendelee kupendwaa ...changamoto ya European car ukizoea huwez kutoka ..mama akifungua fweeezwaaa walahi country man inanihusuSema sahizi utakuwa balozi mzuri sana kuwaasa vijana wenzio 😅! Mtu hajawahi kumiliki hata baskeli kaotea 15m yake anaagiza BMW kwa mbwembwe zote 😅!
Siku zote nashauri kama ndio unaanza kumiliki gari ni afadhali uanzie Toyopet 😅
Hahahaha ukipata kale ka 2018 kako bomba balaa yani😅! Kana split rear doors!Hahahahaahaah mkuu wewe acha sema toyota wacha aendelee kupendwaa ...changamoto ya European car ukizoea huwez kutoka ..mama akifungua fweeezwaaa walahi country man inanihusu
Toyota never disappoints, usijaribu hili kwenye Merc, Beamer ama Audi! UtaliaIzo nimereplace juzi mkuu,,,izo fuse zilikuwa zimepigwa waya nyingi na kubwa balaa lkn nilikuwa nakula tu maisha na nimezibadili sio kwa sababu kulikuwa na tatizo kwa kweli wacha mjep awe mjep,,ila Nina swali mkuu naweza kufanya computer diagnosis kwenye starlet ep 82!?View attachment 1930296