Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

Mimi nimeleta ya CHADEMA, hayo ya CCM ni kazi yako kuyaleta.

Kwa hiyo kama mahesabu ya CCM ni mabovu ndiyo inahalalisha pia mahesabu ya CHADEMA kuwa mabovu.

Huu ujinga umejifunzia wapi?

Ukikua utaelewa. Sasa hivi, katika utoto wako, endelea kuandika "theories".
 
Tatizo lako hujui kama hizi ni pesa za walipa kodi na sio za wanachama wa CHADEMA pekee.

Kama unataka tusiwahoji CHADEMA basi waambie waache kuchukua pesa za ruzuku za vyama kutoka hazina ya Taifa.
Pesa walizo kwiba ccm miaka yote hukuona kwamba ni za walipa kodi? Sikosei wewe unakwepa kulipa kodi mwizi tu..huna lolote!
 
Tatizo lako hujui kama hizi ni pesa za walipa kodi na sio za wanachama wa CHADEMA pekee.

Kama unataka tusiwahoji CHADEMA basi waambie waache kuchukua pesa za ruzuku za vyama kutoka hazina ya Taifa.
Uliwauliza ccm walipoiba ruzuku walirudisha hazina?
 
Acha ushamba, huelewi maana ya conflict of interest, Msechu wa NHC analala Kisutu saivi kwa makosa haya haya, alikuwa anajipa tenda yeye mwenyewe na mke wake, Ukiruhusu huu ujinga, Mbowe ana uwezo wa kwenda kukopa bank kwa riba ndogo halafu anakuja kuikopesha CDM kwa riba kubwa, mwisho wa siku ruzuku haionekana kwa kuwa inaishia kulipa wizi wa Mbowe.
Point of corrections ( mi sio mshamba). Kwanza nakupongeza umejitahidi kujenga hoja tofauti na huyo mjinga hapo juu., Mtanzania1989 najua unajua kuwa chadema ni taasisi, chadema ni zaidi ya mbowe, kwa namna yeyote kanuni hatamruhusu yeye binafsi kupata mkopo bank bila signatories za wanachama wengine.
 
Mberoya unajua kwa nini wanazi wa CDM wanaitwa nyumbxxx? Samahani sana ila wewe ni mfano hai kwa hilo, mwenye akili timamu hawezi tetea upuuzi kama huu.
Kwahiyo ni sawa kutetea uhalifu wa ccm ambao ni mkubwa zaidi, lakini siyo kwa cdm? Msiwe wanafiki! Wizi hupo ccm na huko ndipo Magufuli anawashugulikia kwa kelele za cdm.
 
Hapa ndipo utajua rangi halisi za hawa wahuni
Watetezi wote wamekuja na hoja kwamba ccm wanaiba
Kwa chama kinachotaka kukamata dola,wizi kama huu,hakifai kuchaguliwa kabisa
Unataka kutetea nini hapo?Kwamba CCM iachwe tu iendelee kutawala kwa sababu mahesabu ya CDM hayajakupendezeni?
 
Point of corrections ( mi sio mshamba). Kwanza nakupongeza umejitahidi kujenga hoja tofauti na huyo mjinga hapo juu., Mtanzania1989 najua unajua kuwa chadema ni taasisi, chadema ni zaidi ya mbowe, kwa namna yeyote kanuni hatamruhusu yeye binafsi kupata mkopo bank bila signatories za wanachama wengine.

Kwa hiyo taasis ndio inakopeshwa na kiongozi wa taasis, Magu leo akitoa tenda kwa kampuni yake binafsi kwa kazi za serikali utaona ni sawa? Msechu wa NHC anashinda Kisutu saivi kwa kosa hili hili, kwa nini kwa Mbowe iwe sahihi?
 
Kwahiyo ni sawa kutetea uhalifu wa ccm ambao ni mkubwa zaidi, lakini siyo kwa cdm? Msiwe wanafiki! Wizi hupo ccm na huko ndipo Magufuli anawashugulikia kwa kelele za cdm.
Mkuu kiuhalisia huitetei CDM ila unazidi kuichafua, huwezi sema CDM wana haki ya kuiba kwa kuwa kuna wengine walishawahi kuiba serikalini, huo si utetezi ni kuzidi kuipaka matope tu. Kuna malalamiko mengi ya ruzuku ya CDM kuishia Makao Makuu Ufipa na kwa wajanja wachache. Hadi leo CDM hawana ofisi ya Makao Makuu sababu ya ruzuku sehemu kubwa inatumika kulipia haya madeni, usitetee ujinga hauisaidii CDM bali unazidi kuibomoa.
 
Kwa hiyo taasis ndio inakopeshwa na kiongozi wa taasis, Magu leo akitoa tenda kwa kampuni yake binafsi kwa kazi za serikali utaona ni sawa? Msechu wa NHC anashinda Kisutu saivi kwa kosa hili hili, kwa nini kwa Mbowe iwe sahihi?
Labda kama hujaelwa nilichozungumza, plz jaribu kusoma tena hoja yangu.
 
Usitumie nafasi ya watu kutokujua mambo ya kihasibu kupotosha hoja za CAG Katika ripoti yake ambayo imetoka ikihitaji majibu.

Huo ni mfumo wa Audit query ambayo ni kuwa anahitaji majibu ambayo hajapata na hajasema ni wizi.

Chama kukopeshwa sio dhambi ila anataka mkataba wa makubaliano ya mkopo anaone hivyo huyo ni kazi ya Kamati kuu (kulingana na utaratibu wa Chadema) kuweka mezani kwani hayo yalikuwa matukio ya wakati wa uchaguzi ambayo ni dhahiri yalikuwa yana udharura wake.

Hilo la milioni zaidi ya 700 kuwa na nyaraka pungufu nalo unaliweka hapa kama wizi? Your head must be examined! Kihasibu ajabu ni nini hapo? Mbona hayo yote uliyotaja kihasibu, kwanza sio wizi (audit query) pili ni madogo sana kitaasisi.

Huwezi kulinganisha na chama chenu katika uendeshaji wa shughuli za fedha na Mali, kama umesoma gazeti la Jamhuri (mwenye soft copy atuwekee) toleo la mwisho kuhusu kamati inayofuatilia Mali za chama chini ya Dr Bashiru utajua tofauti iliyopo.

Ndani ya ccm watu wamebadili mpaka hati za majumba, viwanja nk na kuwa Mali za familia zao. Sehemu Kodi ya chumba cha biashara ni 400,000 lakini chamani zinaenda 30,000 huyo ni kila mahali. (Someni; Mtifuano ndani ya CCM)
Hiyo ripoti itakapo toka kama itakuwa wazi basi ndio mtajua tafsiri ya wizi halisi tofauti na Audit Query ya CAG.

MsemajiUkweli usitumie uelewa mdogo wa wengi kuhusu ripoti za CAG kwa propaganda za kisiasa kwa kuchomoa baadhi ya vifungu kuchafua watu.

Ni sawa na muhubiri anaye chukua mstari mmoja mmoja wa vitabu vya dini kupotosha waumini kwa manufaa yake.
 
Mkuu kiuhalisia huitetei CDM ila unazidi kuichafua, huwezi sema CDM wana haki ya kuiba kwa kuwa kuna wengine walishawahi kuiba serikalini, huo si utetezi ni kuzidi kuipaka matope tu. Kuna malalamiko mengi ya ruzuku ya CDM kuishia Makao Makuu Ufipa na kwa wajanja wachache. Hadi leo CDM hawana ofisi ya Makao Makuu sababu ya ruzuku sehemu kubwa inatumika kulipia haya madeni, usitetee ujinga hauisaidii CDM bali unazidi kuibomoa.
Hakuna ushaidi kwamba cdm wameiba, unaleta pumba tu. Hatahivyo, vyama vyote duniani vina mapungufu. Vyama ni watu wasiyo wakamilifu, kwahiyo husitegemee umalaika! Lakini ccm imezidi kuiba mpaka kura za wananchi wanabeba!
 
Back
Top Bottom