Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

Jerry Muro aliwakamata Polisi wala rushwa wakamfanyia mizengwe afungwe leo kawa kibaraka wao.
 
Chama kinaendeshwa ktk OFISI ZA Instagram na mitandao mingine hawajui wanapigwa hela VBY na jibaba
Nyumba hajawahi kuwa na Akili

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Miaka 55 ya CCM Nchi haina maendeleo huku Tanganyika ikiongoza kwa mali Duniani lakini CCM inatafuna pesa zote kienyeji huku ikitumia pesa za Umma kueneza Propaganda za kishamba toka kolomije na chato kwa sasa, Deni la Taifa kimekuwa mara dufu, uchumi unedumaa, madili ya 10% ununuzi wa ndege, pia 10% kwenye malipo ya kuikomboa Ndege, huku 10% zikiendelea kwenye ujenzi wa chato Airport na viwanja vinginevyo vinavyojengwa na vitavyojengwa kwa gharama kubwa kisa kuna 10% zao humo, hakuna unafuu wa maisha kwa Awamu hii ya tano ya 10%ununuzi wa kivuo, vibali vya sukari na madili lukuki mpaka Nchi imezidiwa na Deni la Taifa.
 
CCM inayowajali wanyonge imepiga pesa za wazee wastaafu kwenye vibubu vyao vya mifuko ya jamii! hata huruma hawana!
Ruzuku ya CCM inapigwa na Wajanja wachache na mtumizi yake makubwa ni kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela Wapinzani na unyama mwingineo mwingi
 
CCM ndiyo chama kinachoongoza kwa kutafuna Ruzuku kama mchwa Duniani kisha huenda kuchukua pesa Hazina kienyeji pasipo idhini ya Bunge
 



Hili unalizungumziaje?
 
Nyinyi wote wale wale tu, hakuna mwanasiasa wa kuaminika hasa hawa wa hizi nchi zetu ya dunia ya tatu.
 
Ccm mmepata hati chafu
 
Hizo ni oesa za walipa kodi kutoka hazina ya taifa.

Kama unataka CHADEMA wasifatiliwe basi waambie waache kuchukua pesa za walipa kodi kutoka hazina ya taifa.
Wamekopa kutoka kwa wanachama wao. Do you have a problem with that? Yaani wewe ukikikopa kwa rafiki yako zinakuwa fedha za umma? Don't be silly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…