Hivi ndivyo CCM walivyotufanya watanzania

Hivi ndivyo CCM walivyotufanya watanzania

Serikali ya majazba na visasi

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Wewe umefanya nini bila kutegemea CCM, unallamika wakati wengine wanasonga mbele...je haujiulizi lipi haujui na vipi kuulizwa ukafundishwa nawe ukawa kama ambao hawalalamiki?

Ungetaja hayo unayolalamikia na wewe upo kwenye lipi haswa upande wako.

Zaidi ni porojo, CCM haiwezi kukuwekea chakula mezani. Umeibuka na kujiandikia tu
Povuuuuu
 
Mpendwa nchi iko mnadani dalali mkuu ni ccm mteja mzuri ni mchina

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu hawa wachina hawatatumia njia tofauti na aliyoitumia Dr. Livingston na kina Tip tip kupitishia Vipusa na watumwa!
Reli kiwango cha standard gauge Dar to kigoma.
Bandari kubwa Bagamoyo!

Nimejikuta naikumbuka filamu ya Kunta Kinte!
 
Ilishapoteza Dira......

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe umefanya nini bila kutegemea CCM, unallamika wakati wengine wanasonga mbele...je haujiulizi lipi haujui na vipi kuulizwa ukafundishwa nawe ukawa kama ambao hawalalamiki?

Ungetaja hayo unayolalamikia na wewe upo kwenye lipi haswa upande wako.

Zaidi ni porojo, CCM haiwezi kukuwekea chakula mezani. Umeibuka na kujiandikia tu
Kama wewe ulivyokurupuka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom