Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Habari zenu wana JF?

Leo naomba nishee nanyi aina na vigezo za yule nitayekuwa nae maishani

1) Awe mpole na mtulivu: Namaanisha asiwe mtu muongeaji saana kwana hata mm nipo very polite

2) Awe na maadili mazuri: Namaanisha awe amepata malezi yaliyo mazuri na awe mke mwenye kuijali na kuihishim ndoa yake

3)Hajawahi kuwa boyfriend/mpenzi katika maisha yake: Nasema hivi kwa sababu sina ujasiri hata kidogo wa kuvumilia iwapo mke nimemuoa halaf nakuta jamaa wameshakata kila kitu mm napenya tu! (Namtimua cku hiyo hiyo)

4) Asiwe mtu wa mitandao: Nasema hivi kwa sabab wimbi kubwa la wadada saa hizi maadili yao yamepotezwa na mitandao na ndio maana wakikosa wa mitaani hubugia huko mitandaoni (zaidi kwenye kufesibuka na bila ya kuisahau badoo) na wale wanaotupia insta hawanifai

5) Si lazima awe na elimu ya juu!! Sababu yeye ata play her role as muangalizi wa familia nyumbani kwa hiyo elimu ya kawaida, tu inatosha Ahsanteni

Nawasiliaha!
 
Habari zenu wana jf??
Leo naomba nishee nanyi aina na vigezo za yule nitayekuwa nae maishani

1) Awe mpole na mtulivu: Namaanisha asiwe mtu muongeaji saana kwana hata mm nipo very polite

2) Awe na maadili mazuri: Namaanisha awe amepata malezi yaliyo mazuri na awe mke mwenye kuijali na kuihishim ndoa yake

3)Hajawahi kuwa boyfriend/mpenzi katika maisha yake: Nasema hivi kwa sababu sina ujasiri hata kidogo wa kuvumilia iwapo mke nimemuoa halaf nakuta jamaa wameshakata kila kitu mm napenya tu!! (Namtimua cku hiyo hiyo)

4) Asiwe mtu wa mitandao!! : Nasema hivi kwa sabab wimbi kubwa la wadada saa hizi maadili yao yamepotezwa na mitandao na ndio maana wakikosa wa mitaani hubugia huko mitandaoni (zaidi kwenye kufesibuka na bila ya kuisahau badoo) na wale wanaotupia insta hawanifai

5) Si lazima awe na elimu ya juu!! Sababu yeye ata play her role as muangalizi wa familia nyumbani kwa hiyo elimu ya kawaida, tu inatosha Ahsanteni

Nawasiliaha!!!

Mchonge wako ndio atakae kuwa na vigezo hivyo. Loading...
 
3)Hajawahi kuwa boyfriend/mpenzi katika maisha yake: Nasema hivi kwa sababu sina ujasiri hata kidogo wa kuvumilia iwapo mke nimemuoa halaf nakuta jamaa wameshakata kila kitu mm napenya tu!! (Namtimua cku hiyo hiyo)

Kweli uko 'very polite'. Anyway, wewe hujawahi 'kukata' wa wenzio?
 
Kwa vigezo hivyo ondoa wazo la kuoa mjini, msako uwe kijijini labda nako unaweza usimpate ambaye hayoko fesibuku.
 
muudy

Hyo namba 3 wa mwisho ndio nmemalizia Jana tu. Sorry kwa kuchelewa kijana !
 
Last edited by a moderator:
nenda hosp yoyote ya rufaa ukasubirie atakaezaliwa ukamlee wewe afu akishakua umuoe huyo ndo atakuwa na vigezo unavyotaka
 
Unataka kilicho chema ni sawa. but swali langu kwako, je wewe nawe una vigezo kama hivyo? sio unataka dhahabu wakati wewe ni udongo wa mfinyanzi
 
Ndugu mtoa mada. Mungu humpa mtu mke/msaidizi wa kufanana nae. Kama sifa ulizoorodhesha unazo basi hata nawe pia utapata mtu huyo. Lakini kama huna wewe mwenyewe ndugu unasubiri meli airport ukonga kule....
Wanaume wengi hupenda kuoa malaika ilihali wao wenyewe si malaika. Malaika kwa maana kwamba mwanamke mwenye sifa nzuuuuuri kama hii ya 'virgin'. Je wewe pia ni 'virgin'? Ni hayo tu kwa leo. Yatafakari.
Usiku mwema na kila la kheri katika safari yako.
Halafu hapo ulipo sema unataka mwanamke asie wa mitandao...ulileta hapa ili iweje? Walioko huku wote ni dotcom tayari....may be ufate kijijini kama Pesandogo alivyokushauri. Na virgins ke wapo ila wanapatana na mavirgins wenzao me. Wewe kama sio hutawaona wala kuwapata. LIKE DISSOLVE LIKE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom