Hivi nawezaje kuonana na Da' RussianRoulette?

Hivi nawezaje kuonana na Da' RussianRoulette?

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
[h=1]Natakaaa.......natakaa, nimuulize hiviiii, kwa nini Avatar yake kamuweka murembo anavuta naniliu..... inaitwaje vileeee, ah! Nimekumbuka.... Inaitwaaaaa
Shigara Shipoti, lakini mbona imefanana na Shigara Nyota?

Hata hivyo nakufagilia mwayego, unafaa kuwa Dada yangu wa hiyari!


Da' RussianRoulette

[/h]
 
Mmmmh....kifua kiko vizuri!
 
hivi siyo ndiyo RR alikuwa na tatizo siku za karibuni?
kama ndiye mpe muda wa kutulia kwanza.
 
RR nadhani yuko kwenye maombolezo....angekuwepo angekuwa ameshafunguka mambo kadhaa kama ya sigara, kifua wazi na mengineyo. ngoja atakuja kuelezea hapa..avatar yake imebeba ujumbe gani:juggle:
 
wewe zinduna una mtaka au unampa shout out mwanadafada RR
 
huyo dada mtata sana atakuzingua tu. She has semi multiple personalities
 
Back
Top Bottom