Hivi nawezaje kuonana na Da' RussianRoulette?

Natakaaa.......natakaa, nimuulize hiviiii, kwa nini Avatar yake kamuweka murembo anavuta naniliu..... inaitwaje vileeee, ah! Nimekumbuka.... Inaitwaaaaa
Shigara Shipoti, lakini mbona imefanana na Shigara Nyota?

Hata hivyo nakufagilia mwayego, unafaa kuwa Dada yangu wa hiyari!


Da' RussianRoulette

Mrembo huyu ananivutia hayo maziwa yake mimi huwa nachanganyikiwa nikiona hayo maziwa akili inaniruka sana..... wacha weeeeeeee
 
Mi pia nataka nikutane nae but sio kwa issue za kuulizana maswali!!
Ni mambo ya kifaragha zaidi!!!
 
Zinduna na laptop yake:

Zinduna.jpg
 
... Hadi ban unaweza kuipata kwake, mod yule, ohhooo, shauri yenu..!
Tanöo mbona unatisha *Kwani huwezi kumpenda Moderator?mimi ninampenda na anaipe BAN.mkuu wewe hujawahi kumpenda Hakim mwanamke? ukimpenda akwani atakufunga? hahahahahah unanifurahisha sana.
 
Mmmmh....kifua kiko vizuri!

mnnnh hivo vifuu tu mie hoi

Ugonjwa wangu huu! Khaa

Hayo matikiti mi hoi

M PM utapata kila kitu unachotaka

Mrembo huyu ananivutia hayo maziwa yake mimi huwa nachanganyikiwa nikiona hayo maziwa akili inaniruka sana..... wacha weeeeeeee

Wanaume wa humu JF wanawaogopa sana ma-MODS, huoni wamemuona Bi' Dada hapo juu, wote mbio kama mapanya.....LOL
ZInduna, mambo mengine yanapendeza PM... :)
 
sipendi kununua,
napenda nipe nikupe lol
unanipa kwanza halafu na wewe unapata kitu lol

"Anayejua mapenzi, hawezi kunilaumu, mimi kukupa nilicho nacho, sio kwa kuwa nakupenda.....
Kila nikitoa sio kama ni zawadi, kwani ulikuwa hujui kwamba mkono mtupu haulambwi
Ukiwa kimwaga, wala sitakuita B.w.e.g.e, na ukibana matumizi, ujue hutapata vitamu................No Money, No Honey.......LOL"
 
Nyumba kubwa wote
msiwe na wasiwasi tena
imekuja teknolojia mpya
mtaweza ziondoa na kuzitunza kabatini
zinaungwa kwa zip tu kwa hiyo wafungua na unaweka
ukitaka zitumia unazifunga tena

sipendi kununua,
napenda nipe nikupe lol
unanipa kwanza halafu na wewe unapata kitu lol
 
Alafu mi nina bahati mbaya na wewe Kongosho. Yaani ndio nimegundua kumbe Zinduna ni mdogo wangu wa damu kabisa, alafu hapo hapo naona kumbe "property' yako na yeye wameanza kuchangamkiana. Ikitokea kitu utanisema tena mimi...
 
Back
Top Bottom