Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,890 Reaction score 27,378 Dec 3, 2011 #41 Zinduna said: [h=1] [/h] Click to expand... oh my.... Yaya yayaaa
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,117 Dec 8, 2011 #42 Vigezo na Masharti ni machache: Omba appointment mahala Murua na utulivu - Hio avatar hapa ndio Roulette mwenyewe na kama ulivoona hakosi fag mkononi daima. Andaa Usafiri hakikisha ni Incognito, or else bara bara zitafungwa coz anatafutwa saana huyu bibie.... All in all be yourself... She is a Great lady na an easy person to be with... Kuwezesha yoote haya waweza niona (ukani-pm) nikupe gharama na utalipa in $'z Habari yako Zinduna?
Vigezo na Masharti ni machache: Omba appointment mahala Murua na utulivu - Hio avatar hapa ndio Roulette mwenyewe na kama ulivoona hakosi fag mkononi daima. Andaa Usafiri hakikisha ni Incognito, or else bara bara zitafungwa coz anatafutwa saana huyu bibie.... All in all be yourself... She is a Great lady na an easy person to be with... Kuwezesha yoote haya waweza niona (ukani-pm) nikupe gharama na utalipa in $'z Habari yako Zinduna?