Nywilla JF-Expert Member Dec 2, 2016 379 349 Jan 13, 2017 #1 Hivi kuna Utaratibu mpya unaozuia mtu kureseat vpnd vichache mf. 3 Au 4. Kwa maana inatakiwa vpnd 7 na kuendelea au Utaratibu ukoje Sasa 2017?.
Hivi kuna Utaratibu mpya unaozuia mtu kureseat vpnd vichache mf. 3 Au 4. Kwa maana inatakiwa vpnd 7 na kuendelea au Utaratibu ukoje Sasa 2017?.
tang'ana JF-Expert Member Apr 3, 2015 11,878 15,458 Jan 14, 2017 #2 We angalia maisha mengne out of education,haiwezekani urudie mara zote hzo na bado unachemka tu!
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,721 1,513 Jan 14, 2017 #3 fanya biashara elimu haikutak kama ndio ivo