Hivi nani alikuwa producer wa ngoma za Ray c?

Hivi nani alikuwa producer wa ngoma za Ray c?

Hakika.. industry yoyote inayohusu burudani kuanzia mziki ,filamu na fashions kuna watu wenye tabia odds sana .. kama homosexuals ,watumiaji wa madawa ya kulevya,wasiokuwa na maadili n.k. huko sasa ukijiingiza kama ulikuwa innocent unatoka na tabia nyingine ambazo ni hatarishi sana.. hiki kitu nakiona sana kwenye hizi industry na sijui kwanin hazina uangalizi wa karibu
Mkuuu ile kampani yakooo ndo inakuwa mbaya na ndivo ilivo brooo

Yaani peer pressure ni kubwa sanaaa
 
Anaishi nje ila mara moja au mbili nishakutana naye mikocheni mtaa fulani anakoishi sijui ni dada yake sijui mdogo wake .
Ila kaka lile jicho lake kama akinitizama vizuri leo ,namuhakikishia kukopa tena benki ili afurahi na moyo wake
Kanenepa sana uso na mwili ule uzuri haupo tena, dah huyo demu alifanya mi na mademu wembamba tuwe hivi💯
 
Dah 📍📍📌🔨 asante mdau.. umemtaja huyu prodyuza alan mapigo nikakumbuka kazi njema tena ya Q chila nimesahau jina anayosema angekua na mabawa angeruka kama ndege
Inaitwa "U hali gani" /mboni ichafukapo jicho huwa mashakani ni mbali wewe ulipo na sijui uhali gani/
 
Wadau nataka kufahamu tu nani alikuwa nyuma ya kazi njema za huyu mrembo Ray c kama vile Na wewe milele, umenikataa n.k
Allan mbuji mapigo ndiye kwa kiasi kikubwa alihandisi shajala ya ray c. Ya nataka kuwa na wewe milele.
 
Nyimbo za ray c. Zimetengenezwa 1 alberm ya kwanza marehemu complex ya pili ilitenezwa na allan mbuji mapigo. Wimbo mmoja ulitengenezwa na akili the brain.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom