hivi na wanawake je?

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
33,993
61,052
jamni inajulikana kwa wanaume ambao wanaangalia picha za ngono kuwa mara nyingi tunatokea wanatamani ku-do na wanawake kama wale wanao onekana kwenye hizo picha.....sasa nataka jua je wanawake pia wanaoangalia wanatamani wa-do na wanaume kama hawa wa kwenye hizo picha?
 
kwa sababu mimi siangalii hizi porno_no comment!....yaani sijui kitu hapa
 
jamni inajulikana kwa wanaume ambao wanaangalia picha za ngono kuwa mara nyingi tunatokea wanatamani ku-do na wanawake kama wale wanao onekana kwenye hizo picha.....sasa nataka jua je wanawake pia wanaoangalia wanatamani wa-do na wanaume kama hawa wa kwenye hizo picha?
Mie sijawahi kuziona,subiri wanaozitizama waje wakujuze!
 
Sasa zile si picha tuu na wale unajua kabisa huwezi wapata
Ni kama unatamani kitu ambacho unajua kuhalisia kuwa hakipo
hata hivyo ngoja wale wanaoangalia waje watuambie
 
mzanzibari ww sijui wa wapi! jifunze kutumia umoja na wingi kwa uangalifu,we kama ukiziangalia unatamani! sema mm nikiangalia natamani!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom