Hivi na nyie mna marafiki wa aina hii

Hivi na nyie mna marafiki wa aina hii

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
2,232
Reaction score
2,493
Huwa najiuliza hivi ni kwanini marafiki zangu wengi wakiwa hawana hela na wanataka kupooza makoo wanategemea kuwa mimi nitawanunulia na wakipata hela huwa siwaoni, Muda wowote nikikutana nao hata kwa bahati mbaya sehemu ya vitu baridi wanataka nimnunulie,Hivi na nyie mnao watu wa hivi.Siku hizi nimeamua kwenda kivyangu nakaa pekee yangu Napata kitu yangu safi.Vipi na nyie mna marafiki wa kiume wa aina hii au kuna kitu nimekosea
 
Padre Mcharo karudi toka kurusha mawe
Wagalatia bana.
Wamekaa ki binafsi binafsi tu.
Utadhani kaburini watajizika wenyewe.
Hakika Uislamu umenibadilisha fikra "on how I look at the nature of human interaction"
 
Back
Top Bottom