habibu bakili
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 202
- 51
kwa ninavyoelewa cheo cha makamu wa raisi kina mamlaka makubwa sana kikatiba. lakini mbona huyu mzee wetu naona yuko tu anazurura hovyo na hakuna lolote la maana analolifanya zaidi ya kuzindua warsha tu kila siku???
au ni mimi tu ndio sielewi labda hii ndio kazi yake kama makamu wa raisi (kuzindua warsha/makongamano/semina/majengo)???
au ni mimi tu ndio sielewi labda hii ndio kazi yake kama makamu wa raisi (kuzindua warsha/makongamano/semina/majengo)???