Hivi Mwanza nalo Jiji?

Mtuachie jiji letu kila siku kuuponda tu mji wetu cha kushangaza kila siku mnamiminika kuja mwanza kilichowashinda huko kwenu si uhaba wa fursa ndio maana mnakimbilia kwetu
 
Halafu mtu akitoka dar au huko Arusha akikaa mwanza wiki mbili huwa hatamani kabisa kurudi dar au arusha!! Huwa ni kwa nn? Acheni mwanza iitwe mwanza aisee!!!
 
Mijitu mingi ni ya hovyo kweli wewe umetoka porini kwenu huko umekuja mwanza si ungeendelea kukaa porini kwenu
 
Kula chips kwa tooth pick usisahau haa haa aaaa
 
People from the north are so dumb....umeiona hiyo movie theater yako sasa
 
Kwani dar na arusha zina hadhi gani!?...hamna mji wa maana bongo hii kigezo kikubwa cha kuwa jiji hapa ni wingi wa watu tu
 
Tanzania yote Ni Kijiji.

Hata huko unakosema Kuna movie theaters Ni Kijiji pia.

Mipango miji Tanzania nzima Ni hovyo hovyo.
 
Kwani dar na arusha zina hadhi gani!?...hamna mji wa maana bongo hii kigezo kikubwa cha kuwa jiji hapa ni wingi wa watu tu
Good point. Mleta mada mshamba Sana.

Badala ya kwenda kutafuta orptunities Rocky city analeta taarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…