Hivi mwanawake kama hawa wapo kweli

Hivi mwanawake kama hawa wapo kweli

Kuna demu nimemtongoza leo leo na kwa bahati nzuri amekubali ila cha ajabu ameshaanza kuniambia mambo ya kwenda kujitambulisha kwao yaani sijachukuwa hata point 3 zangu tayari anataka niende kujitambulisha kwao
Hivi wanawake wa aina hii wapo kweli au nimetongoza chizi mimi maana toka ni zaliwe sijawahi kuona mwanamke wa namna hii
😂😂😂😂😂 Daaaah daslama hii au ahahahaha mkuu niache nimalize absolut vodka yangu kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanawake wa siku hizi hawataki ndoa wanataka picha tu wapost waonekane na wao wameolewa ila hawaheshimu ndoa wala mwanaume na umri ukienda wanakuwa na stress kabisa

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kuna demu nimemtongoza leo leo na kwa bahati nzuri amekubali ila cha ajabu ameshaanza kuniambia mambo ya kwenda kujitambulisha kwao yaani sijachukuwa hata point 3 zangu tayari anataka niende kujitambulisha kwao
Hivi wanawake wa aina hii wapo kweli au nimetongoza chizi mimi maana toka ni zaliwe sijawahi kuona mwanamke wa namna hii
Kwisha kabisaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom