Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,943
Reaction score
23,884
Ifike mahala wanaume mjitathmini.. Hasa wenye tabia ya kukopi kila neno la kijinga linalozuka kwenye mitandao.
Kuna hili neno "Jomoni"...
Nililiona mara ya kwanza huko insta ..nikajua ni ujinga wa huko tu . Wala sikutaka kujua lilipotoka..mara ya kwanza nilijua ni typing error. Ghafla likafika hapa JF baadhi ya wadada wakaanza kulitumia.

Inasikitisha sana kwakweli na ME wameanza kulitumia neno hili... Hii ni dalili ya upunga kabisa..

ACHENI HARAKA...
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom