Hivi mwanaume una anza vipi kumkopa mwanamke?

Wewe n mpumbavu.
Unajua nyie wanaume wa tanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka niwa kopeshe sijui nikopeshe laki tano[emoji23][emoji23] wengine wananiandikia matatizo Walikuwa nayo sijui mtoto wake amefanya aje huko matatizo mingi haaa mpka nime ogopa nimefunga pm.

Sasa mwanaume una anza vipi kumkopa mwnamke jamani. Mwanaume una kosa laki tano pesa ndogo kama hiyo? Sasa wewe ni mwanaume wa gani? Si bora ubadili jinsia tu [emoji23]

Mimi nina mdogo wangu ako na miaka 16 alivunja simu ya mtu shuleni akawa anadaiwa, pesa yakulipa hana halafu a naogopa kumwambia mama na baba, akaja kuniambia mimi, mimi nikampa pesa aka kataa akasema no sichukui wewe mtoto wa kike una matumizi mingi utakuja kuzihitaji baadae utafanyaje. Mpaka mimi nikaenda shule bila yeye kujua nikampa yule anayemdai. Akaja kunishukuru lakini hakupenda. Sasa nimeshangaa wanaume wa humu watu wazima eti wana nielezea shida zao niwako peshe. Nimeshangaa halafu nimeogopa kwa wakati mmoja [emoji24]
 
Mlitaka HAKI SAWA kwa WOTE sasa mnategemea u sawa ni kwenye nini labda?? Mmeyataka
Hivi kwanini likija suala la pesa mnaimba haki sawa ila masuala mengine macho yanawatoooka!!?
 
Unajua nyie wanaume wa tanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka niwa kopeshe sijui nikopeshe laki tano😂😂 wengine wananiandikia matatizo Walikuwa nayo sijui mtoto wake amefanya aje huko matatizo mingi haaa mpka nime ogopa nimefunga pm.

Sasa mwanaume una anza vipi kumkopa mwnamke jamani. Mwanaume una kosa laki tano pesa ndogo kama hiyo? Sasa wewe ni mwanaume wa gani? Si bora ubadili jinsia tu 😂

Mimi nina mdogo wangu ako na miaka 16 alivunja simu ya mtu shuleni akawa anadaiwa, pesa yakulipa hana halafu a naogopa kumwambia mama na baba, akaja kuniambia mimi, mimi nikampa pesa aka kataa akasema no sichukui wewe mtoto wa kike una matumizi mingi utakuja kuzihitaji baadae utafanyaje. Mpaka mimi nikaenda shule bila yeye kujua nikampa yule anayemdai. Akaja kunishukuru lakini hakupenda. Sasa nimeshangaa wanaume wa humu watu wazima eti wana nielezea shida zao niwako peshe. Nimeshangaa halafu nimeogopa kwa wakati mmoja 😭

Mbona wenzako wanaazimwa, na wao wanaazima, shida ni nini? Fikra ya mwanamke kwamba yeye tu ndo anapewa ni ya kimalaya.
 
Unajua nyie wanaume wa tanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka niwa kopeshe sijui nikopeshe laki tano😂😂 wengine wananiandikia matatizo Walikuwa nayo sijui mtoto wake amefanya aje huko matatizo mingi haaa mpka nime ogopa nimefunga pm.

Sasa mwanaume una anza vipi kumkopa mwnamke jamani. Mwanaume una kosa laki tano pesa ndogo kama hiyo? Sasa wewe ni mwanaume wa gani? Si bora ubadili jinsia tu 😂

Mimi nina mdogo wangu ako na miaka 16 alivunja simu ya mtu shuleni akawa anadaiwa, pesa yakulipa hana halafu a naogopa kumwambia mama na baba, akaja kuniambia mimi, mimi nikampa pesa aka kataa akasema no sichukui wewe mtoto wa kike una matumizi mingi utakuja kuzihitaji baadae utafanyaje. Mpaka mimi nikaenda shule bila yeye kujua nikampa yule anayemdai. Akaja kunishukuru lakini hakupenda. Sasa nimeshangaa wanaume wa humu watu wazima eti wana nielezea shida zao niwako peshe. Nimeshangaa halafu nimeogopa kwa wakati mmoja 😭
We utakuwa tu na roho ya kimaskini. Kukwama kupo kwa kila binadamu. Mimi mwanamke wangu nikiwa na shida ya pesa ananipa, tena kuna siku kagoma nisimlipe.
 
Kudanga ndio nini? Halafu mimi huwa sijibu dm huwa nasoma tu halafu napotezea ila hizi za mkopo zimenikera sana.
Sawa sawa....kwa hiyo sisi tunajitutumua kuremba mwandiko tukutongoze wewe unasoma tu kisha unafunga thread.

Oouh....sawa sawa.
 
Aseh nimeamini hela ya mwanamke imefungwa spika, ukiichukua tu dunia nzima inajua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kwa hiyo wanawake sio sawa na wanaume tena? maana sijui msimamo wenu uko vipi wanawake
 
aya ya pili itakuwa imeji-type labda.

kuna watu mwezi unaisha hata 10,000 hajaimiliki we unaponda kuwa kama hapati 500,000 abadili jinsi!!!! acha dharau, Afrika na watu wake ni masikini, Mungu akuone kwa jeuri yako.
 
Unajua nyie wanaume wa tanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka niwa kopeshe sijui nikopeshe laki tano[emoji23][emoji23] wengine wananiandikia matatizo Walikuwa nayo sijui mtoto wake amefanya aje huko matatizo mingi haaa mpka nime ogopa nimefunga pm.

Sasa mwanaume una anza vipi kumkopa mwnamke jamani. Mwanaume una kosa laki tano pesa ndogo kama hiyo? Sasa wewe ni mwanaume wa gani? Si bora ubadili jinsia tu [emoji23]

Mimi nina mdogo wangu ako na miaka 16 alivunja simu ya mtu shuleni akawa anadaiwa, pesa yakulipa hana halafu a naogopa kumwambia mama na baba, akaja kuniambia mimi, mimi nikampa pesa aka kataa akasema no sichukui wewe mtoto wa kike una matumizi mingi utakuja kuzihitaji baadae utafanyaje. Mpaka mimi nikaenda shule bila yeye kujua nikampa yule anayemdai. Akaja kunishukuru lakini hakupenda. Sasa nimeshangaa wanaume wa humu watu wazima eti wana nielezea shida zao niwako peshe. Nimeshangaa halafu nimeogopa kwa wakati mmoja [emoji24]
Watu wenye roho za kimasikini na wenye pesa za mawazo utawajua tu huwa hawaachi kulia Lia Kama ww
 
Back
Top Bottom