Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,549
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jamani jamani
kwaiyo niandike maumivu
chako si chetu woteJitahidi tu uwe unanipa wewe aseee manake mie ni ngumu
chako si chetu wote
Cha kwako ndio chetu wote
Thats my baby 😍😊😍😍hahaha ntafanyaje sasa
waswahili wana sema ukipenda boga penda na ua lake. mi ndo nishapenda
Asante sana..siongezi wala kupunguza kitu kwenye hilo Perfect Answer...Umelenga nilipokua na pa targetMbona wenzako wanaazimwa, na wao wanaazima, shida ni nini? Fikra ya mwanamke kwamba yeye tu ndo anapewa ni ya kimalaya.
wanawake Wenye akili zao haoKuna ex wangu popote ulipo ubarikiwe sana.
Yule manzi ilikuwa ni kawaida sana kukopeshana hela. Na hakuwa mswahili, halali na deni, akipata mshahara lazime anilipe mawe yangu.
StupidUnajua nyie wanaume wa tanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka niwa kopeshe sijui nikopeshe laki tano😂😂 wengine wananiandikia matatizo Walikuwa nayo sijui mtoto wake amefanya aje huko matatizo mingi haaa mpka nime ogopa nimefunga pm.
Sasa mwanaume una anza vipi kumkopa mwnamke jamani. Mwanaume una kosa laki tano pesa ndogo kama hiyo? Sasa wewe ni mwanaume wa gani? Si bora ubadili jinsia tu 😂
Mimi nina mdogo wangu ako na miaka 16 alivunja simu ya mtu shuleni akawa anadaiwa, pesa yakulipa hana halafu a naogopa kumwambia mama na baba, akaja kuniambia mimi, mimi nikampa pesa aka kataa akasema no sichukui wewe mtoto wa kike una matumizi mingi utakuja kuzihitaji baadae utafanyaje. Mpaka mimi nikaenda shule bila yeye kujua nikampa yule anayemdai. Akaja kunishukuru lakini hakupenda. Sasa nimeshangaa wanaume wa humu watu wazima eti wana nielezea shida zao niwako peshe. Nimeshangaa halafu nimeogopa kwa wakati mmoja 😭
na roho mbaya..hawa ndio kina IDD AMIN wa sasa hiviUchoyo
Vip lile sakata lako na dingi yako? Lilikshia wap dada yangu
That's true.Asilimia 99 ya wanawake hawana hela ya kujikimu vizuri licha ya hela ya kuwakopesha wanaume.
That's true.
We are just doing it because of Love as well as empathy
I know this..but there are some circumstances which may cause a woman to provide for her man.Anyway, God created Man to provide for a woman, its not the other way around!