Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Wanaiga kutoka wapi? Mbona uvaaji wa hereni na hata kusuka ni tamaduni za baadhi ya makabila hapa Tanzania na kwingine Afrika?Wengi wanaiga tu bila kujua sababu ya waanzilishi wa tabia hiyo
Wanaiga kutoka wapi? Mbona uvaaji wa hereni na hata kusuka ni tamaduni za baadhi ya makabila hapa Tanzania na kwingine Afrika?Wengi wanaiga tu bila kujua sababu ya waanzilishi wa tabia hiyo
Tuambie wewe Kwanza, we unaonaje?Ivi kweli mwanaume rijali unaweza kuvaa hereni. Hata Kama ni usanii. Hapana asee.mimi nikiona mwanaume kavaa hivyo najua huyo sijui Kama ni mzima.![]()
Ni ujingaIvi kweli mwanaume rijali unaweza kuvaa hereni. Hata Kama ni usanii. Hapana asee.mimi nikiona mwanaume kavaa hivyo najua huyo sijui Kama ni mzima.![]()
Hata hayo makabila unayodai wanavaa pia huenda wana sababu zao kulingana na mila zao, sasa wewe ukiwa msanii unajivalia tu!