Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

Ni muda tu! utakwambia kwamba hakuna shida yoyote....
Pia uwez jua je uyo ni mtu wa sanaa,hayupo restricted na ayo maadili yenu ya kazi?
 
Ukweli ni kuwa mwanaume anatakiwa awe mrembo kuliko mwanamke ni basi tu hawa viumbe wamefanya wametufanyia mapinduzi.

Angalia wanyama na ndege karibu wote dume ni wazuri kuliko jike.

Cjui ni shetani gani katupitia tukajisahau

Nawasilisha[emoji3][emoji3]
 
[emoji15]
 
Kwani mwanamke kuvaa suruali n.a. shati anamanisha nini?
Ila mwanaume kuvaa heleni ina maana nyingi wengine wanajiremba tu wainekane vizuri wengine mashogashoga ila wengine ni tamaduni kama wamasai wagogo nk
bkwa hiyo name ww unavaaga
 
We
Ukweli ni kuwa mwanaume anatakiwa awe mrembo kuliko mwanamke ni basi tu hawa viumbe wamefanya wametufanyia mapinduzi.

Angalia wanyama na ndege karibu wote dume ni wazuri kuliko jike.

Cjui ni shetani gani katupitia tukajisahau

Nawasilisha[emoji3][emoji3][/QUOT😀
 
Inamaanisha ni mzurii!!
Mie huwa nawadharauuu
Nenda kwa taadhari na dharau zako. Ukikutana na mzee wangu huyu ukatoka bila mimba basi na mimi shoga

maasai-man.jpg
 
Ukiacha, makabila machache kama wamasai na wagogo, ambapo kwa wagogo utamaduni huu unaisha, uvaaji wa hereni ulikuwa kwa wanawake zaidi. Wanaume wanaovaa hereni wanatumiwa kama wanawake.

Uvaaji wa hereni unauhusiano mkubwa na ushoga na ubasha. Tena inasemekana sikio la kulia lina maana yake, na kushoto lina maana yake. Kuvaa masikio yote nayo ina maana yake
 
Huku kwa madiba na nchi jirani wafaa hereni ni wengi mno jinsia ya kiume....hata choka mbaya nae anatupia kitu sikion
 
Ukweli ni kuwa mwanaume anatakiwa awe mrembo kuliko mwanamke ni basi tu hawa viumbe wamefanya wametufanyia mapinduzi.

Angalia wanyama na ndege karibu wote dume ni wazuri kuliko jike.

Cjui ni shetani gani katupitia tukajisahau

Nawasilisha[emoji3][emoji3]
wewewewe utapasua mbavuuuu
 
mara nyingi wanakuwa washawahi kulawitiwa ama kunajisiwa ama wanatamani wafanyiwe hivyo......vinasaba vya kike
 
Huyu ni utamaduni Wake unaeleweka
Uvaaji hereni na hata usukaji nywele ni tamaduni za makabila ya kifugaji hapa Tanzania. Wasukuma, wamasai na wabarbaig hizi ni tamaduni zao.

Sioni jambo la ajabu mwanaume kuwa na hereni na kusuka.

Elewa historia ya nchi yako bidada.
 
Naona hadi ray kigosi anamvalisha hereni mtoto wake wa kiume haka kadogo. Na uzuri ule watu wakimfanya mboga sijui atamlaumu nani
 
Wengi wanaiga tu bila kujua sababu ya waanzilishi wa tabia hiyo
Wanaiga kutoka wapi? Mbona uvaaji wa hereni na hata kusuka ni tamaduni za baadhi ya makabila hapa Tanzania na kwingine Afrika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom