Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

Mie huwa nawashangaa pia ila mwisho wa siku huwa najionea walio wengi wanaiga na ni wafuata mkumbo tu na pia kwa baadhi yao sidhani kama kuna chochote wanachomaanisha yaani ni ile wakiona Wasanii wa nje wanafanya hivyo basi nao wanafanya pasi kujua wenzao walikuwa na maana gani.

Umewasahau na wale wanaotoga pua.
siwahi kuwaona
 
Ivi kweli mwanaume rijali unaweza kuvaa hereni. Hata Kama ni usanii. Hapana asee.mimi nikiona mwanaume kavaa hivyo najua huyo sijui Kama ni mzima.
14dcd3fb198aee008f22c9844ae80792.jpg
Sasa hereni ina tatizo gani mdada?
 
uvaaji wa hereni hizi ni dalili za kupakuliwa tu hakuna kingine, wengi wao watu wa namna hii vasseline huwa inawahusu tu. Mwanaume anayejielewa na kutambua thamani yake hawezi fanya huu upuuzi. Na kwenye jiji hili la bashite mapunga wamekuwa wengi kwl, yani ukiingia club sasa hivi idadi ya mapunga ni kubwa kuliko idadi ya watoto wa kike. kwaiyo hawa watoto wakiume wanaovaa mahereni chembe chembe za uchoko zinaanza kuwaingia ndomana wengi wao wanajikutaga et wao n wazuri kuliko wanaume wengine sasa km hizi sio dalili za uchoko ni nini?
 
Kwani mwanamke kuvaa suruali n.a. shati anamanisha nini?

Ila mwanaume kuvaa heleni ina maana nyingi wengine wanajiremba tu wainekane vizuri wengine mashogashoga ila wengine ni tamaduni kama wamasai wagogo nk
 
Hiyo ilikuwa huko majuu aliyevaa hivyo nikuonyesha kuwa ni shoga hivyo mpenda shoga hahangaiki anajua Jamaa anatinduliwa sasa sisi tuna copy bila kuelewa tukidhani ni fasheni.
 
uvaaji wa hereni hizi ni dalili za kupakuliwa tu hakuna kingine, wengi wao watu wa namna hii vasseline huwa inawahusu tu. Mwanaume anayejielewa na kutambua thamani yake hawezi fanya huu upuuzi. Na kwenye jiji hili la bashite mapunga wamekuwa wengi kwl, yani ukiingia club sasa hivi idadi ya mapunga ni kubwa kuliko idadi ya watoto wa kike. kwaiyo hawa watoto wakiume wanaovaa mahereni chembe chembe za uchoko zinaanza kuwaingia ndomana wengi wao wanajikutaga et wao n wazuri kuliko wanaume wengine sasa km hizi sio dalili za uchoko ni nini?
Mbona neymar cr7 na Sanchez wanavaa na hawapakuliwi?

Acha kuwa brainwashed na wajinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom