Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
5,164
Reaction score
6,552
Ivi kweli mwanaume rijali unaweza kuvaa hereni. Hata Kama ni usanii. Hapana asee.mimi nikiona mwanaume kavaa hivyo najua huyo sijui Kama ni mzima.
14dcd3fb198aee008f22c9844ae80792.jpg
 
Mie huwa nawashangaa pia ila mwisho wa siku huwa najionea walio wengi wanaiga na ni wafuata mkumbo tu na pia kwa baadhi yao sidhani kama kuna chochote wanachomaanisha yaani ni ile wakiona Wasanii wa nje wanafanya hivyo basi nao wanafanya pasi kujua wenzao walikuwa na maana gani.

Umewasahau na wale wanaotoga pua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom