Hivi mwanamke unavyomwambia hivi Mwanaume"__" kweli inawezekana?

Mpige nyoka mkuu
Ndugu ni mkasa mfupi mnaweza kushauri,

Iko hivi nimeoa ila nafanya kazi ofisi moja na mdada mmoja mzuri sana. Mke wangu pia Ni mzuri thus way nimeamua kumuoa. Lakini tatizo mke wangu haniamini kuhusu huyo mdada wa kazini muda mwingi Hana furaha akilalamika kwamba namsaliti kwa huyo mdada. Nimeshajitetea kwamba sitembei na huyo mdada na ndio ukweli wa Maisha yangu lakini haniamini.

Ni utaratibu wa kawaida kwamba muwapo watu wa rika moja eneo fulani basi utaniutani hauwezi kukwepeka Kama kujikuta umemishika nywele, n.k ila sio utani wa ukaribu sana.

Sasa kwa kuwa tunafanya kazi ofisi moja mwanzoni kabisa maneno yakasambaa kwamba fulani anatembea na fulani. Maneno yakakuwa mpaka yakamfikia mke wangu, Sasa imekuwa Ni vurugu Mai ndani baina yangu na mke wangu na baina ya mke wangu na huyo mdada. Wanaonesheana chuki huko mtaani maana hata salamu hawapeani.
Wanapeana michambo lakini Mimi namsisitiziaga make wangu kwamba huyo mdada ana watu wake kabisa na sio mmoja ninaowajua hivyo siwezi kutembea nae lakini haniamini.

Sasa juzi nikiwa ofisini nikashangaa huyo mdada anafuta mchozi na kuniambia " Thai mwambie mke wako nikiamua kutoka na wewe kimapenzi nitatoka, narudia tena mwambie nikiamua kutoka na wewe kimapenzi nitatoka hata kwa lazima" nikaduwaa!!

Si kutaka aendelee kuongelea hilo suala maana Kuna mfanyakazi mwingine alikuwemo ofisini kwetu. Kitu kingine sikutaka kumuliza kivipi anaweza kunifanya atoke na Mimi maana niliona tutaenda kwenye kukamiana kitu ambacho ctaki kitokee kwa huyo mdada.

Unajua Kama umeoa inabidi uwe makini Sana na mahusiano mapya maana unaweza ukapewa mahaba ukatelekeza familia.

Huyu mdada cina mazoea nae nje ya ofisi kwa sababu ghetto yupo single hivyo nilishajiapie kutomtembelea kwake. Wala ciweki mihaadi ya kukutana nae nje ya eneo la kazi kwa sababu najua yanayoweza kutokea huko Ni mengine.
Sasa nimekuja kwenu wadada mnifungue macho yawezekena ninyi mnayajua madhaifu yetu tofauti na sisi wanaume tunavyojifahamu.

Yawezekena vp mdada utoke kimapenzi na Mwanaume Hali yeye hajadhamilia kutoka na wewe. Tena hudai hata kwa lazima unaweza kutekeleza Hilo au hiyo kauli ya hata kwa lazima ilitoka kwa hasira tu. Siwezi kumuliza huyo mdada kuhusu kauli yake hiyo maana nitaonekana nijipandisha kwake kitu ambacho huwa cpendi nikikiona nakifanya kwa mtu yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Watu wa kazini kwako wanamjua Mke wako? Mnakaa kota?

Uyo demu wa kazini kwako pia mnakaa nae mtaa mmoja ndio maana hasalimiani na Mkeo. Why?

Sijui kama unachepuka na uyo dada au hauchepuki ila MKEO yupo RIGHT 100%.

Ebu achana mazoea na iko kidada mfuraishe mke wako ambae utaishi nae miaka mia.
 
Chai hii.
 
Kabla ya kutoa ushauri wangu nataka kujua kwanza huyo mdada wa kazini ana chura kubwa kuliko mkeo?
 
Mkeo kisha ona unajirahisisha kwa huyo dada, Mke anaona madhaifu mengi kwa Mwanaume wake, inawezekana hauna mpango nae lakini ukipewa kweli hautoacha yaan inaonekana kabisa ukipata nafasi ya kupewa kikojoleo hauto kiacha na mkeo anajua kbsa huyo kivuruge akikushika kitumbua chake ndio kishaingia mchanga, Muheshimu mkeo, ishi kiuanaume zaidi, maneno yako yafanane na matendo yako, kifupi wapo watu ofisini kwenu wana mawasiliano na mkewako na wanampa ripoti zako zote kila kinachoendelea, kuwa romantic kwa mkeo kuwa muwajibikaji na ikiwezekana uwe inamtoa Out mara moja moja kuna siku atafunguka tuu na utamjua mchawi wako.
 
Yaani Watu wa kazini kwako wanamjua Mke wako? Mnakaa kota?

Uyo demu wa kazini kwako pia mnakaa nae mtaa mmoja ndio maana hasalimiani na Mkeo. Why?

Sijui kama unachepuka na uyo dada au hauchepuki ila MKEO yupo RIGHT 100%.

Ebu achana mazoea na iko kidada mfuraishe mke wako ambae utaishi nae miaka mia.
kama mtoapost hana miaka 23 sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu ni mkasa mfupi mnaweza kushauri,

Iko hivi nimeoa ila nafanya kazi ofisi moja na mdada mmoja mzuri sana. Mke wangu pia Ni mzuri thus way nimeamua kumuoa. Lakini tatizo mke wangu haniamini kuhusu huyo mdada wa kazini muda mwingi Hana furaha akilalamika kwamba namsaliti kwa huyo mdada. Nimeshajitetea kwamba sitembei na huyo mdada na ndio ukweli wa Maisha yangu lakini haniamini.

Ni utaratibu wa kawaida kwamba muwapo watu wa rika moja eneo fulani basi utaniutani hauwezi kukwepeka Kama kujikuta umemishika nywele, n.k ila sio utani wa ukaribu sana.

Sasa kwa kuwa tunafanya kazi ofisi moja mwanzoni kabisa maneno yakasambaa kwamba fulani anatembea na fulani. Maneno yakakuwa mpaka yakamfikia mke wangu, Sasa imekuwa Ni vurugu Mai ndani baina yangu na mke wangu na baina ya mke wangu na huyo mdada. Wanaonesheana chuki huko mtaani maana hata salamu hawapeani.
Wanapeana michambo lakini Mimi namsisitiziaga make wangu kwamba huyo mdada ana watu wake kabisa na sio mmoja ninaowajua hivyo siwezi kutembea nae lakini haniamini.

Sasa juzi nikiwa ofisini nikashangaa huyo mdada anafuta mchozi na kuniambia " Thai mwambie mke wako nikiamua kutoka na wewe kimapenzi nitatoka, narudia tena mwambie nikiamua kutoka na wewe kimapenzi nitatoka hata kwa lazima" nikaduwaa!!

Si kutaka aendelee kuongelea hilo suala maana Kuna mfanyakazi mwingine alikuwemo ofisini kwetu. Kitu kingine sikutaka kumuliza kivipi anaweza kunifanya atoke na Mimi maana niliona tutaenda kwenye kukamiana kitu ambacho ctaki kitokee kwa huyo mdada.

Unajua Kama umeoa inabidi uwe makini Sana na mahusiano mapya maana unaweza ukapewa mahaba ukatelekeza familia.

Huyu mdada cina mazoea nae nje ya ofisi kwa sababu ghetto yupo single hivyo nilishajiapie kutomtembelea kwake. Wala ciweki mihaadi ya kukutana nae nje ya eneo la kazi kwa sababu najua yanayoweza kutokea huko Ni mengine.
Sasa nimekuja kwenu wadada mnifungue macho yawezekena ninyi mnayajua madhaifu yetu tofauti na sisi wanaume tunavyojifahamu.

Yawezekena vp mdada utoke kimapenzi na Mwanaume Hali yeye hajadhamilia kutoka na wewe. Tena hudai hata kwa lazima unaweza kutekeleza Hilo au hiyo kauli ya hata kwa lazima ilitoka kwa hasira tu. Siwezi kumuliza huyo mdada kuhusu kauli yake hiyo maana nitaonekana nijipandisha kwake kitu ambacho huwa cpendi nikikiona nakifanya kwa mtu yeyote.
Wewe mkeo ana upeo mkubwa, Mwanaume umeoa alafu unamshikashika nywele dada wa ofisini ni ujinga huo, alafu pia utambue unamharibia nafasi ya watu wengine kupeleka posa kwao.Nakushauri ili usije kujaribu na kujuta tambua nafasi yako...Ngoja aje akukukate hako kajitu kanakokupa kiburi..
 
Back
Top Bottom