Hivi mwanamke akikuambia mfanye hivi ina maana gani?

Kwa akili zako hata meno ungemuachia
Wengine hatuna tawile najijua kabisa naaibu Tena ikiwa ni zoezi la kuangaliana na pisi kali ndo kabisa nisingeweza! Inataka moyo kuliangalia tu ua zuri.. Hapo ningetililisha vituko tu siwezi face pisi kali kwa 1 minutes na yenyewe inaniface Labda niwe nimemzoea sanaaaaaaaa huyo mi ningemwambia njoo nikunong'obeze akinisogezea ushavu busu la maana halafu namwambia ndo tushaangaliana hivyo!..
 
Age plz tusije tukawapa watoto maana tukaangamiza familia na taifa kwa ujumla..... kama upo above 18 ebu focus kwenye issue nyeti za kusikiliza sera za wagombea na mukikutana tena ebu changanueni sera kidogo itapendeza waiter niongezee ya moto
 
Una umri gani? Na inaonekana hako kabinti ndo kanajifunza mapenzi masikini ya mungu?
Kwahiyo kufanya hivyo kuna maana gani? Mbona hamsemi au na nyinyi hamjui hii kitu ina maana gani?
 
Ni kitu cha kawaida, ni kipimo cha kumjua mtu muongo. Mtu muongo hawezi kukuangalia machoni kwa dakika nzima bila kupepesa macho na kuangalia pembeni.
 
Back
Top Bottom