Hivi mwanamke akikuambia mfanye hivi ina maana gani?

Hamna alichonizidi ndugu nilichokuwa nafanya ni kumwachia ahisi kwamba she is controlling the pitch ndio maana nilimkubalia ingawa sikujua kwamba alikua anamaana gani
Dogo ameshakuzi tayari maana umeshindwa kucheza na akili yake au kumteka mpaka akuambie alikuwa ana maanisha nini!

Ili udili naye japo sio kwa nguvu ila kwa mazungumzo tu tena yenye hekima na sio lazma kwa wakati huo hata wakati mwingne. Sasa unakuja kutuuliza sisi ambao hata hatumjui huyo kigonywa wako
 
This appeared just today ,that's why I need your experience
 
Back
Top Bottom