dhabi haizai dhambi ..
Nnacho sema mimi ni kwamba dhambi hairithiwi labda itokee special case kama ya wayahudi kulaaniwa kabila lote..mama alieua mumewe akizaa mtoto usifikiri hiyo dhambi atarithi na mtoto akizaliwa..kila mbuzi atakula urefu wa kambayake mbele za hakki.Kivipi? Toka lini kusema ukweli kukawa dhambi, au mwenzetu hujasoma historia ya dunia na kwa nini myahudi na mwarab hawawezi kusuluhishwa, kamwe? Mbona kwenye vitabu hii kitu imeandikwa?
Nnacho sema mimi ni kwamba dhambi hairithiwi labda itokee special case kama ya wayahudi kulaaniwa kabila lote..mama alieua mumewe akizaa mtoto usifikiri hiyo dhambi atarithi na mtoto akizaliwa..kila mbuzi atakula urefu wa kambayake mbele za hakki.
mkuu zamani palikuwa na ndoa kweli au ilikuwa ukimjua mwanamke ndo mkeo,Waarab ni kizazi kilicholaaniwa kwa sababu baba yao Ishmael alikuwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa. Avram (Abraham) alizaa Ishmael na yaya wake (beki tatu wake) aitwaye Hagar ambaye alikuwa Mmisri. Kwa wayaudi, mtoto wa pembeni anahesabiwa kuwa ni mtoto wa laana (forbidden child) na ndiyo maana myaudi hataki hata siku moja kutawaliwa na kizazi kilicholaaniwa. Hii ipo kwenye historia, ila watakuja watu wasiojuwa historia na kutaka kuniua mimi au kujiua wao wenyewe kwa kukata ukweli. All in all, hizi dini hazituhusu...sie tuliletewa tu kwenye maboti.....tuwaachie wenyewe waarab na wayaudi wapiganie dini zao.
mkuu zamani palikuwa na ndoa kweli au ilikuwa ukimjua mwanamke ndo mkeo,
yakobo mwenyewe kazaa na mahousegal,nusu ya watoto wake 12 ni wa mahousegal,
mbona wao hawajalaaniwa?,
kitu walichojichanganya waandishi ni kudhani jina israel ni laa upekee sana,
el alikuwa ni mungu anaeabudiwa caanan kabla hata Abraham hajahamia caanan kutoka ur.
Maana ya ishmaEl ni Mungu kasikia.
Hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa kabla haya yakobo hajazaliwa,watu waliabudu mungu,na huyo mungu akitajwa kama El.
Sasa hapa jaribu kuconnect dot,
babake na mtume wakati anazaliwa akaitwa jina AbdAllah,
maana ya abdallah ni mtumishi wa mungu
so kumbe babu zake na mtume waliabudu mungu wakimwita Allah,kabla hata mtume hajazaliwa na ndo maana mtoto wao wakamwita AbdAllah.
Kwahiyo hapa ni wazi kuwa El aliabudiwa na kina mzee abraham kabla hata hajamzaa isaka na kabla yakobo hajazaliwa,
na kumbe babu zake mtume wa waislamu walikuwa wanaabudu mungu Allah kabla hata mtume hajazaliwa,
kumbuka matamshi El na Allah ni almost the same.
Swali la muhimu hapa,Yahwew alitokea wapi?,na kwa nini aliibuka tu from nowhere na kujitambulisha kuwa ni mungu wa israel
Kwa mawazo yangu nilifkiri waarabu na waisraeli wote ni RACE moja yaani SEMITES hawa inajumuisha watu wengi wa mashariki ya kati mpaka Uturuki ugiriki na asia ya magharibiYaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Musa ni mwafrika kwa sheria za kuzaliwa alizaliwa AfrikaKwa mawazo yangu nilifkiri waarabu na waisraeli wote ni RACE moja yaani SEMITES hawa inajumuisha watu wengi wa mashariki ya kati mpaka Uturuki ugiriki na asia ya magharibi
Hivyo kwa maoni yangu musa ni muarabu hata waisraeli ni waarabu tu maana wote wametokana na SHEM mtoto wa Nuhu.....
Alikuwa muebraniaYaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Kwa maelezo yako ata mimi ni mzungu maana mie pia nimetoka kwa Adam na hawaKwa mawazo yangu nilifkiri waarabu na waisraeli wote ni RACE moja yaani SEMITES hawa inajumuisha watu wengi wa mashariki ya kati mpaka Uturuki ugiriki na asia ya magharibi
Hivyo kwa maoni yangu musa ni muarabu hata waisraeli ni waarabu tu maana wote wametokana na SHEM mtoto wa Nuhu.....
kwani wewe hujawahi tandikwa na mzazi wako au mwalimu shuleNi Mungu wa aina gani anayekong'otwa na watu wake
Tunaposema RACE ziko tatu tu mkuu CAUCASIANS, MONGOLOIDS NA NEGROIDSKwa maelezo yako ata mimi ni mzungu maana mie pia nimetoka kwa Adam na hawa
Basi mimi ni mzungu
Unapokosea ni kuita waisraeli waarabu, af na kuendelea kuteteaTunaposema RACE ziko tatu tu mkuu CAUCASIANS, MONGOLOIDS NA NEGROIDS
Weupe wote wanaangakuia caucasians
Wekundu wote yaani wa asia na amerika ni mongoloids
Alafu watu weusi wote duniani ni Negroids
N hizi race zimeanzia kwa uzao wa Nuhu ambapo japhet ndio aliishi ulaya soma mwanzo 10 na ham ambaye negroid aliishia afrika pia Shem alibakia mashariki ya kati na asia
Hivyo kwa msingi huo wa biblia na kisayansi tunaona Waisraeli walizaliwa kupitia SHEM ambayo ni race ya SEMITE hawa ni waarabu kabisa hivyo musa ni muarabu kwa muonekano na hata waisraeli ni ''WAARABU'' sio Wazungu Yaani ARYANS
Mkuu soma biblia vizuri Mwanzo 10 utaona SHEM alimzaa Arphaxad naye akamzaa Abraham then akamzaa isaka naye akamzaa yakobo ambapo ndipo taifa la israeli lilianza sasa ukisoma mwanzo kumi utaona watoto wote wa Japhet walikimbilia ulaya (WAZUNGU ama ARYANS) ..... Alafu watoto wengi wa SHEM walibakia mashariki ya kati kma syria Persia na mesopotamiaUnapokosea ni kuita waisraeli waarabu, af na kuendelea kutetea
Kama ni hvyo na mi ni muzungu
Maana hakuna uhusiano wao na waarabu
Kama ni hvyo basi mzungu ni mwarabu maana wote ni Caucasians
Labda nikuskilize pia naweza jifunza kitu..... Unaweza prove kwamba waisrael sio familia moja na waarabu..... Hivi unafahamu Abraham alikuwa muarab pure kabisa !!!Unapokosea ni kuita waisraeli waarabu, af na kuendelea kutetea
Kama ni hvyo na mi ni muzungu
Maana hakuna uhusiano wao na waarabu
Kama ni hvyo basi mzungu ni mwarabu maana wote ni Caucasians
UYAHUDI ni dini sio kabila, na UARABU sio dini wala ukabila ila uasili kutokana na bara husika analotoka mtu, kwa hiyo usichanganye dini na ukabila kuwa kitu kimoja. Manabii wote walikuwa waislamu, Musa hakuwa MYAHUDI ila MUISLAMU wa huko Israel,
Jina: Nabii Musa
Dini: muislamu
kabila: Mlawi ( Kut 2:1-10; Eb 11:23; Mdo 7:17-22).
taifa: Mu-israel
Asili: Mwarabu wa Asia
du si mchezo,musa alikuwa muislamu kivipi?uislamu umeletwa dunian miaka 600 baada ya yesu ,na musa alikuwepo hata kabla ya yesu kuzaliwa.fafanua tafadhari.
Jina: Muhammad
Dini: Muislamu
Kabila: M-quraesh
taifa: Saudia Arabia
Asili: Mwarabu wa Asia
Wewe mgonjwa sana, uislam haukuwepo kabla ya kwenye 620 ADUYAHUDI ni dini sio kabila, na UARABU sio dini wala ukabila ila uasili kutokana na bara husika analotoka mtu, kwa hiyo usichanganye dini na ukabila kuwa kitu kimoja. Manabii wote walikuwa waislamu, Musa hakuwa MYAHUDI ila MUISLAMU wa huko Israel,
Jina: Nabii Musa
Dini: muislamu
kabila: Mlawi ( Kut 2:1-10; Eb 11:23; Mdo 7:17-22).
taifa: Mu-israel
Asili: Mwarabu wa Asia
Jina: Muhammad
Dini: Muislamu
Kabila: M-quraesh
taifa: Saudia Arabia
Asili: Mwarabu wa Asia
Huyo Nabii Adam alifunga ramadhan?je alienda maka kuhiji?hebu nielezee alisali kibla kwa kuangalia wapi, je sala tano aliswali .....Swali jingine km Uislam ulikuwepo iweje manabii wengi watoke kwa watu ambao hawaujui uislam yaan waisraeli .Muislaam wa kwanza ni Nabii Adam, na wa pili ni Mkewe Hawa.
Ni kwa mujibu wa Qur'an na si kwa maoni yako na mafundisho ya sunday school. KweliKwanza