Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Sasa kama mtu hujui hata maana ya 'kukariri' halafu unajiona unajuua !
Kwa taarifa yako hata wanasheria wana kariri na mainjinia pia wana kariri ndo maana kuna formula.
 

Attachments

  • VID-20130718-WA0004.mp4
    5 MB · Views: 18
Na pia Mungu na Allah (sw) ni tofauti.

Tofauti ni kwamba Allah (sw) Hakuzaliwa wala Hakuzaa na wala Hana mtoto.

Lakin Mungu kuna watu wanasema ana mtoto. Wanasema eti Yesu ni Mwana wa Mungu.

Hiyo ndio Tofauti.
 

Attachments

  • VID-20180223-WA0015.mp4
    811.1 KB · Views: 19
Ww kama unabishana, bishana tu. Ila mm siko hapa kwa ajili ya ubishi, niko hapa kukwambia ukweli.

Eeeeh Mungu sio Allah (sw) maana Mungu ana Mtoto alafu Allah (sw) Hana mtoto. We huoni hiyo tofauti hapo ama ubishi ndio unapenda?
 

Attachments

  • VID-20180126-WA0001.mp4
    1.2 MB · Views: 20
Biblia yoyote ya kiingereza utakuta Jesus ya kiswahili utakuta Yesu ya kinyakyusa utakuta Jesu. Niambie Qur'an tafsiri ya lugha gani ina jina Yesu ukikosa basi tambua Yesu na issa ni watu tofauti
 

Attachments

  • VID-20180123-WA0009.mp4
    2.9 MB · Views: 20
.....sioni faida ya kuwa na elimu ya dini zaidi inakufanya mtumwa wa kifikra. (nimenukuu maandishi yako na kuyakariri)
Wanasheria wote Duniani wanakariri na Mainjinia wote wanakariri kanuni.
Wewe kukariri unakuchukuliaje !?

Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe akiwaambia wana Israel:

'Hear o Israel, the lord our God is one Lord. Marko: 12:29.

'Shama Israelu, Adonai ila hayano, Adonai Ikhadi.
Qur'an inasema Yesu aliwaambia Wana Israel ' Rabikum wa Rabakum'
Bwana wangu ndiye Bwana wenu.
Hili la Yesu mungu, mwana wa mungu, utatu mtakatifu, sijui maria mama wa mungu, yametoka wapi ?
 

Attachments

  • VID-20171208-WA0014.mp4
    15.1 MB · Views: 20
Hakuna mafundisho ya ukristo yanayodai Kuna Mungu watatu.Ila Mungu mmoja katika nafsi tatu.Binafsi sioni mkanganyiko kwenye Biblia.

Ndo maana hata kwa mjibu wa Biblia Mke na Mme ni mwili mmoja.Unaelewa nini juu ya neno umoja?
 

Attachments

  • VID-20171206-WA0003.mp4
    9 MB · Views: 22
Kifupi hapo unasema Nabii Ibrahim alizini ! Au umemuweka Nabii Musa kundi moja na akina Mwingira na Kakobe !?
Ni kafiri tu ndo anaweza kuropoka ropoka tu kama hivyo !
Unajua maana ya kafili au n ww umekalilishwa km wengine wanaoita wakristu makafili .
 

Attachments

  • 984d06eeca187b060d650ed4b67e4f44.jpg
    984d06eeca187b060d650ed4b67e4f44.jpg
    60.6 KB · Views: 29
Unajua maana ya kafili au n ww umekalilishwa km wengine wanaoita wakristu makafili .
Makafiri ni wale wanae mwabudu aliyeumbwa na si aliye umba !
 

Attachments

  • VID-20180128-WA0003.mp4
    650 KB · Views: 23
Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Akili ndogo tu. Uana wa Yesu kwa Mungu ni upi??. Ni kutokana na kuzaliwa kwake au???
Mbona baba yetu Adamu aliyefinyangwa na Mungu mwenyewe hamumuita Mwana wa Mungu. Na ni ukombozi gani unaozugiwa nao?
Siku nyingine mkae chini mtafakari. Mungu hana mwana. Mungu anaumba tu na kwake uumbaji ni kazi rahisi sana. Huwa anaamuru tu kuwa na inakuwa. Ndivyo alivyofanya kwa Mariam alimtuma Malaika wake akamwambie Mariam utabeba ujauzito kwa idhini ya Mola wako. Na utamzaa mtoto ili awe muujiza kwa watu wako. Hii ndio kauli mnayotakiwa kuifikiria. Kila siku mwalishwa matango pori mwala tuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom