Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,553
Hizi porojo umeziokota kijiwe gani !?Yesu alikuwa akiitakasa sabato,yaani ilikuwa desturi yake kuitakasa sabato(luka 4:16).Sabato sio ya wayahudi kwa taarifa yako.Ilifanyika kwa ajili ya mwanaadamu(marko 2:27).Sasa wewe ni nani?Nikupe taarifa nyingine.Sabato ni ya BWANA,MUNGU,na si ya wayahudi(kutoka 20:10).
*Unasema quran ndo muongozo.Pengine hujui.Mtume wako anasema Musa na Haruni walipewa kitabu kipambanuzi kwa wacha Mungu(qur 21:48),je,na wewe ni mcha Mungu?Basi kitabu alichopewa Musa na Haruni ndo muongozo kwako na c alichopewa Muhammad.
*Mungu wako anamwambia mtume wako,hatakiwi kuhukumu ilhali torati ipo(qr 5:43).Sasa wewe hilo la kusema qurani ndo muongozo kwa wacha Mungu umelitoa wapi?Unabishana na mungu wako?Wewe na mungu wako nani mkweli?Tuambie sasa
Nimekuuliza Yesu kasema muabudu lini na vipi ?
Wayahudi na dini yao ya Uyahudi wanaabudu lini ?
Wakiristu nani kawaambie waabudu jumapili ?
Waabudu jumamosi ni 'manyani' tena yana laana ! Aliye na laana ya Mungu ni nani wa kumuongoa ?