Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Ww tatizo umekalili tu ila hufanyi uchunguzi uislam umeeanzishwa na Muhammad ila kwa kua we ni mfia din siwezi bishana na ww .Na km unaona waarabu ni bora kuliko sisi hujachelewa kaolewa huko na utumwa wako wa kukalilishwa upuuzi
tapatalk_1519669311345.jpeg
tapatalk_1519669293966.jpeg
tapatalk_1519669269371.jpeg
tapatalk_1519669217813.jpeg

Wakati wa Nabii Ibrahim Uislaam upo, na jufikiria Uislaam ni uarabu ni kwa mtu mpumbavu tu kama wewe ! Indonesia ina watu mil ±250 na wate ni waislaam na hamna mwarabu.
 
Hahhahaa mie nimesema uprove unaanza mapovu ya kidini hapa..... Hayo majarida kila dini inayo na kila jarida linaaminisha kuwa mungu anayeongelewa humo ndio Mungu original sasa what's the difference between ukristo,uislam na uhindu maana kila mtu anasema dini yake ni ya ukweli ssa nakuuliza HOW ntajua kuwa uislam ndio dini ya kweli na sio ukristo ama uhindu

Badala ya mapovu nielimishe
Safi kabisa kwa swali hilo ngoja tusikilize kitacholetwa tena.
 
Qur an ipi inasema Yesu atauhukumu ulimwengu? Aya gani hiyo? Hebu tafuta Qur an yenye tafsiri halafu soma sura ya 19 (Mariam) huu ndio ukweli usiopingika kuhusu huyo unayemtaja. Qur an haikwekwesi wala haipindishi maneno na hakuna fumbo la imani katika hicho kitabu, ukitaka amini usipotaka endelea na imani yako ila usituletee hadithi za kufikirika humu
.
FB_IMG_1482409568528.jpg
 
Tusichanganye Biblia na quran ni vitabu viwili tofauti tusivifananishe tafadhali
Musa anayeongelewa na Biblia sio wa quran watu wawili tofauti na majira tofauti, habari ya Yesu na Isa bin mariam ni tofauti tusichanganye na kulazimisha ufanano wa hivi vitabu.
 
Sasa mbona kuna watu wanasema alikuwa Muislam

Kwa mujibu wa Uislamu Mussa (A.S) aliku ni muislamu.

Wanachoshindwa kufahamu watu wengine wasiokua waislamu ni kuwa wao wanahisi Uislamu umeletwa na Muhammad (S.A.W)

Kwa mujibu wa Uislamu Muhammad ni mtume wa mwisho katika mitume ya Allah. Na Mussa ni mmoja katika watume wa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom