Hivi Mungu wa CHADEMA ni yupi?

Hivi Mungu wa CHADEMA ni yupi?

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
18,925
Reaction score
13,279
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?
 
For your information there is only one God. Pls refer to your ID name!!!
 
Muumba Mbingu na Dunia!

mkuu umemjibu mnafiki na MVUNA TEMBO NDO MAANA KAVAA KOFIA YA CCM NA JUZI WACHINA WAMEKAMATWA NA MENO YA TEMBO, BADO HAUJAUNGANISHA NA KINA..
 
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?

CHADEMA wameanza na Mungu wata maliza na Mungu wanaanza na Mungu wanamaliza na Mungu.Orodha yote uliyoiweka hapa ni ya mamiungu wako na kamwe haitatokea ukamjua Mungu wa CHADEMA.
 
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?
Kwenye nyekundu huyo ndo MUNGU ambaye chadema wanamsema ila kwenye swali lako blue huyo ndo mungu waccm, nashukuru kauli ya chadema imeiandika sahihi sana.
 
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?
Anayependa Machafuko - CCM
Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli -Chenge, Kinana, Rostam, Lowasa
Anyependa wizi wa wake za watu - Mwigulu Nchemba
Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa -PolisiCCM
Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc -​Ridhiwani
 
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
MUNGU wa Mbinguni aliyeumba mbingu na nchi
 
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?

Labda Itakua mungu huyu.
 
Attachments

  • Screenshot_2013-11-10-13-53-26.jpg
    Screenshot_2013-11-10-13-53-26.jpg
    59.9 KB · Views: 63
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?

Nashindwa Kuelewa Nimjibu Vp Kwasababu Hamzungumzii Mungu Wa Chadema Mungu Anaependa Machafuko Muulize Pinda, Uongo Muulize Magufuli, Utapeli Muulize Chenge, Ufisadi Mwambie Mwigulu Akienda States Apitie Boston Amuulize Balali, Anaependa Wizi Wa Wake Za Watu Hebu Muulize Mwigulu Na Malima Kama Anakumbuka Ishu Ya Morogoro Atakuambia, Anatependa Maiaji Muulize Kamuhanda Na Kuhusu Udini Na Ukabila Muulize Ole Saibul Kama Ni Mzima Hatasahau Alivyo Jiamini Kwa Uarusha Wake. Ukiwauliza Rudi Basi
 
Salaam Wanamjavi,
Natumai wote mu wazima wa afya tele.
Mara nyingi nasikia CHADEMA wakijinadi kwenye majukwaa yao kuwa "WALIANZA NA MUNGU NA WANAMALIZA/WATAMALIZA NA MUNGU, swali ninalojiuliza, ni mungu yupi huyo?
  1. Anayependa Machafuko.
  2. Aanayependa Uongo,Ufisadi na utapeli.
  3. Anyependa wizi wa wake za watu.
  4. Anayependa mauaji ya watu wasio na hatia kwa ajili ya siasa.
  5. Anayependa Ubaguzi wa DINI, KABILA, RANGI etc

Mungu wa CHADEMA ni yupi huyo?
 
Aliumbwa ila alijichakachua kwa kudhani kila kitu kinawezekana kwa nguvu ya pesa,na CHADEMA kudhani wameshamlaghai Mungu pakutosha hivyo wanaweza kumleta hata aliyejikachua awe chaguo lake kwa Watanzania.
Yaani Lowassa ana hela kiasi gani na kuliko nani. Au hadithi za mitaani kwamba Lowassa ni "tajiri sana" bila ya uthibitisho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom