Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,857
- 50,585
Swali hujenga taswira ya mtu alivyo, yaani Mbowe kila siku inatajwa alipewa hela na Lowassa lakini nyie wasemaji hamjui hata kiasi alichopewa, kwa nini tusiamini kwamba huo ni uzushi?Muulize Mbowe alipewa shilingi ngapi kuuza chama......hapo jibu utalipata.