Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Kwakweli hii Awamu imevunja record , imetufanyia mengi ikiwemo kuzindua mbuga ya wanyama

Unajua mbuga Ni kiwanda Cha wanyama , tumzindua na tutazindua
 
Ulivomalozia hua wanafanya wanawake, mimi mwanaume nishashindwa eti.

Niende kwenye mada
Upuuzi utaendelea kufanyika maana jiwe anataka chato iwe kama NYC
 
Hio inaitwa artificial national park
 
hujaangalia live ? ukaona inazinduliwaje?
 
Taifa la wajinga na matakataka ndio matokeo yake hayo
 
Yaani ukishakua Chadema tu lazima uwe zuzu kwanini?
 
Akili za mzinduaji zinatakiwa zizinduliwe pia
 
Wakati huo huo umesoma na umekubali kuwa kuna wazungu wamegundua mlima kilimanjaro na milima mengine... lakini mswahili mwenzako kuzindua mbuga unaandamana JF...
 
Media zinaombeleza mkuu
Maisha lazima yaendele

Ova
 
Kuna watu wako nae ccm huko iko cku akitoka madarakan wakishuhudia haya wanayofanya na huyu watajidharau sanaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…