Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,277
We mtu wewe, unajua mbavu hazinaga spare?Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Subirini muone nyie vijanaNatatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
[emoji23][emoji23][emoji23] kama ilivyokua kwa Makamubwa rais Mh. Bilali awamu ya Nne..Nadhani alimkabidi mkulu ule mkasi.Naona Suti zake zimeshonewa mfuko maalum wa kuwekea mkasi
Hahaha haaaaa haaaaa haa Wanyama wame fanyaje?Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Aisee sijawahi kuona utawala unaolazimisha kupendwa kama huu, hovyo kabisa