Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Wapo watu hata humu mitandaoni wanapost ujumbe ambao ukiusoma inajionesha wazi wazi kuwa hawapendezwi na kila analolifanya, lakini hao hao wakimsikia mtu yeyote akidai kuwa Tanzania Demokrasia ya vyama vingi ineminywa, haraka haraka wanalipuka kuunga mkono. Je tuwasaidiaje watu hawa?